Oa ili uchangie na wenzako.Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.
Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.
Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.
Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.
Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?
Lakini nampenda sana.
Thank you brother......wazo zuri sana.hongera kwa kushinda dhambi ya uasherati pia watoto wa kike wana mambo mengi sana kama unampenda usimfutia kila hatua utaumia bure ladba ni kweli au pia si kweli mambo huwa yanajifunua yenyewe cha msingi ni kuandaa moyo na akili usimpende saaana ..na usiweke malengo 100% kuachana ni jambo la mwisho kabisa sababu wanawake huwa wanafanana unaweza ruka mkojo ukaangukia m**i
Jiulize do u need this kind of relationship? Why ww tu kuumia moyoni au umuonyeshe kumpenda tuu na kumjali yy asionyeshe? Love is two way traffic. Usiwe mjinga wa mapenzi and kupenda kusikufanye mpofu usione picha inavyoenda. Make a right decision.... Anayekupenda kwa dhati hawezi act hivyoMwendelezo..... Nilijaribu kufuta hadi namba yake na mim nikawa simtafuti kilichofuatia akawa ananitafuta kila asubuhi na jioni kwa kunihimiza amka uende kazini jioni anapiga simu anasema pole na kazi . .. kukata tamaa kunaisha naanza upya tena......inafkkia kipindi nikakata tamaa na kumuuliza pia hebu niambie nina changu au sina mim nianze mambo mengine "akanambia bwana inaonekana unaharaka tafuta mwingine" nikaamua ngoja niachane nae sitaki tena ....baadae usiku ananiambia jamani naona umechukia hadi naogopa nilitaka nije kwako lakin naogopa unanichukia....mim nikamwambia mim ni civilized karibu niko normal....basi nikawa simtafuti muda mwingi akawa ananitafuta yeye kwa kuwa nampenda moyo tena unarudia kukaza buti hebu ngoja niendelee naye tu labda ndio tabia yake.....yaani kwa sasa nimekuwa mtu wa kukata tamaa na kurudia tena .....ndio maisha ninayoishi....hivo naomba mnishauri the right way .... how to completely solve this equation.
Huo ndio ukweli.....probably.Piga chini huyo, hakuna mapenzi hapo. Kinachomsumbua ni uoga wa kukwanbia ukweli kuwa hakupendi
Huyu binti hajazoea kukutana na type yako. Anataka u -do- naye...Mwendelezo..... Nilijaribu kufuta hadi namba yake na mim nikawa simtafuti kilichofuatia akawa ananitafuta kila asubuhi na jioni kwa kunihimiza amka uende kazini jioni anapiga simu anasema pole na kazi . .. kukata tamaa kunaisha naanza upya tena......inafkkia kipindi nikakata tamaa na kumuuliza pia hebu niambie nina changu au sina mim nianze mambo mengine "akanambia bwana inaonekana unaharaka tafuta mwingine" nikaamua ngoja niachane nae sitaki tena ....baadae usiku ananiambia jamani naona umechukia hadi naogopa nilitaka nije kwako lakin naogopa unanichukia....mim nikamwambia mim ni civilized karibu niko normal....basi nikawa simtafuti muda mwingi akawa ananitafuta yeye kwa kuwa nampenda moyo tena unarudia kukaza buti hebu ngoja niendelee naye tu labda ndio tabia yake.....yaani kwa sasa nimekuwa mtu wa kukata tamaa na kurudia tena .....ndio maisha ninayoishi....hivo naomba mnishauri the right way .... how to completely solve this equation.
HahahahahahUnatakiwa ufanye naye kitu. Piga naye picha kitandani
Hahaha duniani Kuna mamboNina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.
Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.
Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.
Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.
Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?
Lakini nampenda sana.
Hahaha umenixhekesha xanaHayo mapenzi hewa. Nipe namba zake nikusaidie kumtumbua.
-Kaveli-
miaka yako tafadhali
Hahahuwa inauma sana kutuma SMS jitu linajibu kama kalazinishwa,anyway kwa sisi wadada tukifanyaga hivyo jua hakuna mapenzi were kaa kimya week akikuuliza VIP mjibu short 'Niko bize' then kimyaaa ndo utajua yote yalojificha