Nampenda lakini meseji zake za mkato

Nampenda lakini meseji zake za mkato

Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.

Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.

Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? Kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.

Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.

Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?

Lakini nampenda sana.
Kama ni kweli basi kuna watu hatua za ukuaji zile wameziluka aisee tuseme ukweli haki ya mungu
 
Washikaji napiga kilaji hapa oxygen bar Tabora town nimeptove na nimeamin wana JF mko vizur kimawazo ..... nimefanya maamuzi na kweli tangia jana usiku hajanijulia hali eyote.... maamuzi mlonishauri na nmefanya ni sahihi.....THANK YOU VERY MUCH GUYS AND LADIES.
Thanks for your appreciation, Welcome again. Hii ndio MMU bwana ukiwa na shida njoo tu hata mimi niliponea humu
 
Mwendelezo..... Nilijaribu kufuta hadi namba yake na mim nikawa simtafuti kilichofuatia akawa ananitafuta kila asubuhi na jioni kwa kunihimiza amka uende kazini jioni anapiga simu anasema pole na kazi . .. kukata tamaa kunaisha naanza upya tena......inafkkia kipindi nikakata tamaa na kumuuliza pia hebu niambie nina changu au sina mim nianze mambo mengine "akanambia bwana inaonekana unaharaka tafuta mwingine" nikaamua ngoja niachane nae sitaki tena ....baadae usiku ananiambia jamani naona umechukia hadi naogopa nilitaka nije kwako lakin naogopa unanichukia....mim nikamwambia mim ni civilized karibu niko normal....basi nikawa simtafuti muda mwingi akawa ananitafuta yeye kwa kuwa nampenda moyo tena unarudia kukaza buti hebu ngoja niendelee naye tu labda ndio tabia yake.....yaani kwa sasa nimekuwa mtu wa kukata tamaa na kurudia tena .....ndio maisha ninayoishi....hivo naomba mnishauri the right way .... how to completely solve this equation.
Unahangaika nae wa nini wakati wako chungu nzima viumbe hao.Bado asubuhi tu tayari ameshaanza kukuvuruga.Kwanza huyo hana mpango na wewe achana nae tafuta mwingine wako kibao.
 
Komaa nae moyo ukizoea maumivu utamwacha, saivi hata tukushaurije hauwezi coz unaonekana ndo mapenz unayaanza afu umefall mbaya aiseeee. pole sana, THE SEED TO GERMINATE IT MUST DIE FIRST
 
Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.

Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.

Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? Kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.

Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.

Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?

Lakini nampenda sana.
acha uboya wewe......hujui kuwa ana chat na wengine....eti ahadi mpaka kumuoa........hembu kuwa kidume ...
 
Jitafutiage mwingine,utakuja kulia urudi tena humu; kutuambia wadau yule mliyenishauri ananiliza nifanyeje sasa?
 
KAMA HAUJAMUONJA SHAURI YAKO HAWAKAWII KUKATAA KUSHIKWA MANYONYO UKIWAOA
 
Mwanamke unataka kumuoa alafu hata SMS tu kujibu anakuwa busy!!!!kuwa makini sana au jiandae kisaikolojia kuja kuachana nae na uje tena utupe mrejesho sawa

Mwendokasi

Masinki
 
Nina msichana ambae nategemea kumuoa badae, sijawahi shiriki naye tendo na ahadi yangu kwake ni kumuoa kihalali.

Sasa huyu dada ukimtumia ujumbe wa maneno huwaga anajibu kifupi mfano "UMEAKAJE MPENZI ANAJIBU SALAMA" anakaa kimya na wala haulizii hali yangu na hawezi kunitafuta mpaka mimi nimuanze kumtafuta.

Alafu meseji hujibu baada ya hata lisaa lizima au zaidi. Nakumbuka leo nilikuwa nachati nae kuanzia saa mbili akawa ananijibu kwa wakati lakini imefika saa tatu akawa anajibu baada hata ya dk 20.Sasa mimi nikamuuliza kulikoni ama una usingizi? Kanijibu ndio kwa kifupi baadae mimi nikamwambia basi usiku mwema akajibu baada ya dk 10 nawe pia.

Sasa nimekaa kama dk 5 kumpigia simu yake ikawa busy anaongea, nimepiga mpaka roho ikaniuma simu iko busy.

Wadau nifanye maamuzi gani sahihi kwa huyu dada?

Lakini nampenda sana.
pole sana uyo mfanye mchepuko tu lakini siy mt wa kuowa
 
huwa inauma sana kutuma SMS jitu linajibu kama kalazinishwa,anyway kwa sisi wadada tukifanyaga hivyo jua hakuna mapenzi were kaa kimya week akikuuliza VIP mjibu short 'Niko bize' then kimyaaa ndo utajua yote yalojificha
saafii...
 
Dah pole sana, haka kamchezo hakahitaji ushauri, kutoka kwa mtu. Hapo pambana mwenyewe tu.
 
Back
Top Bottom