Nampenda lakini meseji zake za mkato

Nampenda lakini meseji zake za mkato

Kwanza mkuu huyo sio dadayako unamuitaje dada halafu unatakiwa utest kama yenyewe kama vipi liga chini hakuitaj huyo atakusumbua ww na familia yako na hata jf atatusumbua kwa malalamiko yako kuhusu yeye mkuu
Mwenzie anataka mpini yeye analeta habari za ndoa chaaa
 
Mi mtu akiniandikia kimkato simjibu akiuliza nasema sijakuelewa
 
amna mahusiano apo,,,yan ww ndo unaona kuna mahusiano ila yy haon anashindwa tu kukwambia labda umsaidie
 
Mchunguze vizuri, huenda ana matatizo yanayompa wakati mgumu kuyatatua zaidi ya hilo la kwako. Kuna watu hawapendi ku-share matatizo yao hasa ya kifamilia kwa wengine. Unasema ilikuuma sana ulipopiga simu halafu ukakuta iko busy, je, ulijua anaongea na nani?
 
Mimi ni mwanamke na mtoa uzi amini amini nakwambia: hakika huyo dada walaa hakutaki! wala hakupendi! wala hana time na wewe ila wewe una force ile mbaya...nnachofahamu mimi kama unampenda jamaa tena utatamani hata mchati 24hrs bila hata break...!! ila huyo hawezi tu kufunguka kwamba You are no longer for him...huo ndio ukweli Deadly set true!! unauma lakin i know cos i've been there before and experience the same thing kwa jamaa ambae hakunipenda...japo mi mjanja niligundua mapema kabla hakuniacha nikamuwahi mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]
 
Wew mkaka hapo hakuna mapenzi hata kidogo, huyo ana mtu wake tayari. Kiufupi unajipendekeza lakn yeye akutaki
 
Usilazimishe penzi,afadhali sasa umeumia lakini bado hujaumia sana kuliko ungependa zaidi huwezi kujua baadae ingekua mbaya kiyasi gani,kumbuka kua kila linalo kuepuka kuna kheir ndani yake usilalamike sana japo ulikua na nia njema,muombe mwenyezi mungu akupe mwenye kheir na wewe..
 
Mkuu vitu vingine havihitaji darasa una angalia tu kwa macho una elewa koz kwa hizo pozi anazo kuletea zinaonyesha hana time na wewe sasa kwanini uendelee kupoteza mda fuata ustaarabu mwingine samaki bado ni wengi baharini huo ni ugonjwa wa moyo tu unataka kupata hapo
 
Mpe hela kila siku,utaona msg hazikauki 24 hrs.
 
Hii ya jana...na leo imeendelea?? hebu tumalizie,kivyovyote vile utakuwa na muendelezo wake hapo.
 
Jipange baba,
Kwa jinsi mademu wa siku iz wanavozitafuta ndoa...! Mkuu huyo demu hakutaki , chukua 50 zako ,
Labda cha kukusaidia ni kwamba , wewe niPm namba yake alaf nitajarib kuongea nae kuhusu suala lako.. Naamin ataelewa tu.. Fanya hima nipate hiyo namba
Mmmh..una lako jambo No.ya Mchumba wa mwenzio ya kuikazania hivyoo..au unataka kumtumbua..after all inaonyesha Jamaa sio wa Mjini kavamia Demu matawi...Nani atakuwa Na mzima Na mkaka dizaini za poripori
 
Mimi ni mwanamke na mtoa uzi amini amini nakwambia: hakika huyo dada walaa hakutaki! wala hakupendi! wala hana time na wewe ila wewe una force ile mbaya...nnachofahamu mimi kama unampenda jamaa tena utatamani hata mchati 24hrs bila hata break...!! ila huyo hawezi tu kufunguka kwamba You are no longer for him...huo ndio ukweli Deadly set true!! unauma lakin i know cos i've been there before and experience the same thing kwa jamaa ambae hakunipenda...japo mi mjanja niligundua mapema kabla hakuniacha nikamuwahi mimi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]

kama kweli ww ni mwanamke utakuwa na matatizo mengi sana. unaonekana unapenda matatizo ya wengine Hata mwishon ulicheka inaonyesha utu wako halis.Pole
 
Mmmh..una lako jambo No.ya Mchumba wa mwenzio ya kuikazania hivyoo..au unataka kumtumbua..after all inaonyesha Jamaa sio wa Mjini kavamia Demu matawi...Nani atakuwa Na mzima Na mkaka dizaini za poripori
Kuna jamaa yangu anapitia hali hiyo na ameshatoa mahari, unamshaurije mtu kama huyu
 
Mmmh..una lako jambo No.ya Mchumba wa mwenzio ya kuikazania hivyoo..au unataka kumtumbua..after all inaonyesha Jamaa sio wa Mjini kavamia Demu matawi...Nani atakuwa Na mzima Na mkaka dizaini za poripori
Cna nia mbaya nataka nimsaidie ku-express anavyojiskia kwa huyo demu, pia nataka nimfanyie maombi.. Mtume na nabii Multiphill90[emoji23] [emoji23]
 
kama kweli ww ni mwanamke utakuwa na matatizo mengi sana. unaonekana unapenda matatizo ya wengine Hata mwishon ulicheka inaonyesha utu wako halis.Pole
Hamna kimbegu..unadhani nimemcheka mtoa uzi? ila nimefurahi tu jinsi ambavyo nilimuwahi mtu ambae angekuja kuniacha yeye na ningeumia zaidi...nimeufurahia tu ujanja wangu hapo, kuachwa kubaya maana inauma sana mtu ana ku ignore hvyo as if you don't exist?? kha!! yakukute mkuu ndio utaelewa.
 
MWENDELEZO..... nimeduatilia sana kuhusu mwenendo wake hadi nikadukua mawasiliano ya meseji zake kupitia ma spy walio karibu naye nilichogundua ni kwamba kuna washikaji kadhaa nao wana pigia misele mzigo huo lakin hawajafika hatua niliyopo mim mim niko juu zaidi yao...lakin pia mdada anajiheshimu hana mambo mengi .....sio mtu wa miwa kama ilivyo maana nimemfaham ni mwaka saiv na kitu kilichonipelekea kumtokea hana skendo ya kuwa na mtu...unaju mikoa ya magharibi mwa tz ni tofauti na Dar watu wakiwa kwenye magusiano mtaa mzima huwaganunajua lakin nmefuatilia hana mshikaji hapa mkoani kwetu na maeneo ya kazin kwake na hii research nimeifanya mda mrefu ninachokihisi yeye atakuwa na mtu labda huko kwao alikotokea.....lakin kwa hapa nilipo na yey hana mtu kabisa...mawazo yangu nikichanganya na yenu NIMEAMUA KUACHANA NAYE SITORUDI NYUMA MIM NGOSHA ZE DON UREFU FUTI SITA POINT 2...SLIM BODY...MAJI YA KUNDE PESA YA KULA IPO SAIVI NIWE MAN STAND ALONE MPAKA NITAKAEMPATA ANANIPENDA.
Ahsante kwa ushuri wenu.
 
huo ndo uwanaume... songa mbele very soon utampata wa kwako atakayekupenda kwa dhati...
 
Hata kama mapenzi Ni upofu we kaka umezidi..endelea Tu kushika mapembe wenzio wana kamua maziwa..

unaonekana Ni mpole na unajua kuheshimu mwanamke ILA huyu hutamuweza atakuumiza mwachie pasua kichwa wenzie,

tafuta unaye endana naye, sawaee
 
Back
Top Bottom