Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.
Hakuna muigizaji mzuri kama mtoto Wa kike.
 
Penzi kitovu cha uzembe! Naweza kusema huyo hakupendi, yupo na wewe kwasababu anachuma hapo kwako zikimtosha utajua rangi yake, hakuna rangi utaacha ona!
 
Mtu akutie hasara bado umemweka tu,kisa mnapendana afu kumbe hata hamjahalalisha
 
blackgold we noma sanaaaaaa, demu wako anakufurahisha kwa ku.to.mb.wa pembeni? kwikwikwikwiiiiii!:A S 39:
hajamaanisha hivyo..come on! we ushasikia wapi mtu katafuniwa mkewe then akafurahi..nadhani hujamwelewa mtoa mada
 
Achana naye atakuua. Huyo tunamuita kiruka njia. Utaumia kwa muda utasahau kuliko kufa kwa ukimwi. Mangapi amefanya hujajua. Ogopa sana wanawake wanaojifanya kulia. Kashajua udhaifu wako upo kwenye machozi. Itakuuma lakini utasahau na hizo millions of money si chochote mbele ya maisha yako na utu wako. Huoni anakudhalilisha?.
mimi sitamiliki bastola coz duh!.
 
Mimi nahisi umekosea kichwa cha habari yako mkuu maana hapa asiyejielewa niwewe ila yeye anajielewa sana ndiyo maana anakudanganya kwa machozi nawewe unafungua moyo.
Kosa lako kubwa ni kumpa wadhifa wa management ya comp.yako sidhani kama mambo yanaweza kwenda sawa maana kila kitu atakuwa anaweka utani kama mnavyofanya chumbani. Be serious mkuu utakuja juta ukibaki hohehahe.
 
Skiliza saut ndani ya moyo wako.hiyo ndio kweliii
 
kaka u cant tell if someone loves u thru 'water power'... Especially wanawake! We can use tears to get anything . Kama mtu anakupenda ad dunia ifanyaje sijui, she wudnt have cheated u in the first place! Period! I dont knw her,but men u gotta use ur head not ur heart,

exactly!!!!!!

Halafu wanawake tunajua kupretend sanaa, na twaweza fanya chochote ili kuunogesha uongo kuwa ukweli, na katu huwezi shtuka...!
Yahitaji kutuliza akili sana kumsoma mwanamke la sivyo neema ya Roho Mtakatifu ishuke
 
Kaka ur wasting ur precious time kwa mtu ambaye hakupendi. Kwa sasa unaona kama utaweza kuvumilia trust me siku ukimweka ndan all her faulty will became prominently written on the walls of ur house
Anza na mtu usiyejua historia yake....! Utaendelea kuingizwa hsara tu
 
daaaah tunatofautiana sana mkuu...yaani ningembeba yeye na kila kitu chake na kwenda kumkabidhi huyo anayemgegeda....
 
et!! "stress" ndo akaamua kuvua pichu yake!! si kweli kaka stuka na chukua hatua!!
 
du una moyo mgumu, kwahiyo akilia wewe unamsamehe? basi endelea kujaza ndoo ya machozi kwa kila mwanaume atakeyelala nae ukigundua atalia, ndoo ikijaa jua papuchi haifai tena.
 
Pole sana kijana....hapo wengi wameshakupa ushauri kwamba huyo hakufai kwa dalili hizo

Sauti ya wengi.ni sauti ya Mungu
 
Yaani demu wangu akigongwaaa njee.....!!!hilo nikosa la jinai na halisameheki kwamwe....!!!huu ni usaliti kama una tusumbua kwny m4c....!!ngoja wa mgonge misumari ya nchi 6 kwa demu,yy ana nyundo...!!!una kabizi malaya kampuni....!!huyu anatakiwa apelekwe milembeeeeee.....!!!!
 
Back
Top Bottom