Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Nenda nae chemba mwanaume mwenzio umueleze kinagaubaga kuhusu wanawake, amemsahau Delina alivyodanganya Samson, bila kumsahau Hawa alichomfanyia Adam, wanawake ni werevu sana
habari ya hapa ni nani anayekuliza apo kwen Avatar?
 
Last edited by a moderator:
Huo ndo ukweli mtu wangu... Sometimes tunalazimisha mapenzi kwa hela bila kujua haufanyi kazi...


Hii dunia ina mambo mengi sana, na kadri siku zinavyosonga nitazidi kujionea vioja vya duaniani
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

Kaka pole sn ,hiyo changamoto ni nyepes sn,msamehe...,imenikumbusha mkurugenzi alikuwa amekaa guest week 3 sasa (wakat ule),baada yakumuachia kila kitu mke wake kwa sababab yakukuta anatembea na mtu mwingine,kilichomuuma sn alikuwa anajiamin yuko fit kila idara,baada ya kukutana na rafik yake 46agea akamueleza changamoto hiyo bwana naye akamwambia rudi nyumban ukakae na mkeo na pigamaj kam kawaida ,mimi unayeniona hapa mke wangu mnyakyusa tuna watoto 3,wakwanza na wa mwisho wangu ,wapil sio wangu alipewa mimba na mwajiriliwa kazin kwangu..sasa nani ana kazi kubwa? Akaongeza kwakusema hata mtoto namlipia shule za gharama kubwa ,hata hivyo ndoa yake haikuimalika huyo mzee alianza kutumia muda mwing kanisan,mke akawa mlevi,kila mtu chumba chake .miez 5 iliyopita mzee mafarik kwa kugongwa na gar amepakizwa kwenye pikipik baada yakuacha gar yake kazin kufuata jingine bandarin...wapo waliosema mke kamulamba noma nami nasema MUNGU alimchukua gafla.
 
He he he he vip hauna ugonjwa wa hivyo?
umeshawahi kumkabidhi nani moyo na mali zako mkuu

Moyo wa kwangu ni wa kwangu mimi...ni mali yangu mimi, kwa kifupi "I'm incharge of my own happiness".

Watu wenye msimamo kama huo wa kwangu huwezi kumkuta na ugonjwa wa "Mahaba Niue"...
 
kweli kuna wanaume hamjitambui ,,,, sijui ni hizi tamthilia za kinaAlehandro zinawaharibu.
 
Nenda nae chemba mwanaume mwenzio umueleze kinagaubaga kuhusu wanawake, amemsahau Delina alivyodanganya Samson, bila kumsahau Hawa alichomfanyia Adam, wanawake ni werevu sana
Amina...... Uikuwa unamaanisha Delila au Delina???
 
pole mkuu ila ukweli ni kwamba mwanamke akianza hayo mambo na mtu mwingine na huku akijua kabiza ana mke wake ni vigumu kuacha, nakushauri chukua hatua mapema kabla hujaumia, atakuambia ameacha lakini hawezi bali atafanya kwa usiri na umakini zaidi ili usijue, tuna uzoefu na hayo mambo, pia usikute hayo mamilions anampa huyo kibwana chake, mwisho wasiku wanachukua pesa zote na unatoswa vile vile, hujui wanawake ee
 
Aisee yani unafikiri akilia ndio anakupenda!? Pole sana kwa kukubali kuwa zombie wake.
 
Hiyo shule huko masomoni mbali bado haijakusaidia? amka mtoe kwenye life yako mwizi tu huyo machozi ndio nini
 
Mkuu unadanganywa na machozi ya mwanamke ...stuka mkuu hawa hua wanalia kama kuigiza tu wala usiogope chukua maamuzi mazito piga chini tu.
 
Back
Top Bottom