Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

BlackGold_

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
94
Reaction score
27
Habari za muda kama huu, poleni na majukumu ndugu zanguni.
Jamani mkisikia mtu anakwambia kua uyaone basi subiri ukue,...
Naomba niwaeleze mkasa wangu Kama ifuatavyo..
Miaka Kama miwili hivi iliyopita nilifanikiwa kupata mchumba ambaye Kwa muda huo huo nilimchukua kutoka Kwa wazazi wake maana nao hawakuwa na neno ukizingatia heshima niliyonayo ni kubwa sana. Baada ya kuchumchukua huyu mwana dada kulingana na Elimu yake(diploma) nilimpa kazi kwenye kampuni yangu binafsi, awe kama manager,ukizingatia nilikuwa nimeweka mameneja wengine ambao walikuwa wananiibia sana. Siwezi kusimamia management mimi mwenyewe kwani hivi sasa niko Masomoni "mbali" na kazi zangu.
Baada ya huyu dada kuingia kazini Kwa kweli kazi haziendi mbaya zaidi niliambiwa mwanamke Wangu anatembea na mtu pale kazini, kumuuliza mchumba wangu alilia sana akaomba msamaha,ila akasema ni kweli na ilikuwa bahati mbaya kwa sababu ya mazingira halafu "stress" za kazi na akaahidi jambo Kama Hilo hawezi kuja kufanya tena na anaomba msamaha Kwa Mungu wake pia kwani amekomaa sana.
Kwa kweli nilisema nimemsamehe ila deep in my heart napata wasiwasi Kama ameanza hivi na Kama msamaha wake ni kweli au la!!
Nampenda kupita maelezo huyu mwanamke na mpaka sasa ameshanipa hasara hasara kweli, millions of money. Sasa najiuliza nimwache nikubali kuumia tu au niendelee nae perhaps nikimaliza masomo huku niliko tukawa pamoja mambo yatabadilika.
I really really love this woman.
Naomba ushauri please nifanyeje...
 
yeye anakupenda kiasi ganiiii........................................?
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.
 
pole sana dude!
Its hard especial kama na mapenzi yanahusika.
Wanasema mapenzi na kazi hayaendi na nikweli.
Me chakukushauri, keep distance coz apart from relationship, there stands gudlife u knw..kila mtu anataka na linapatikana kwa kumake faida kwakila ufanyalo na sio hasara.
Keep distance tafuta watu wanaofaa uwaweke katika kampuni yako.. Then yeye mpe biznes yake hata botique mpe mtaji ahangaike nao..akivurunda thats her bizness.
Then kuhusu kucheat,.. Ukishakeep a litle distance kama kweli ni wako na amechange utamjua tuu.
Ila try to use ur head to make decisions not ur heart man.
Gudluck
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

kaka u cant tell if someone loves u thru 'water power'... Especially wanawake! We can use tears to get anything . Kama mtu anakupenda ad dunia ifanyaje sijui, she wudnt have cheated u in the first place! Period! I dont knw her,but men u gotta use ur head not ur heart,
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

hongera kwa kujiamini kuwa unapendwa tena msisitizo ananipenda sana,sisemi utengane naye la!ila nashindwa kupata jibu kwakweli kama kweli mtu unampenda tena sana anapata wapi muda wa kuanza mauhusiano mengine na mtu mwingine?tena anavujisha biashara ambayo inampatia yeye faida na wewe pia.mchumba huyo bado hajawa mke bado bro take care isije kakupendea vitu ulivyonavyo na si wewe.hongera kwa kumsamehe kwakuwa kakiri mpe nafasi tena.
 
We jamaa wa ajabu sana, na utaendelea kuchapiwa daily.
 
pole sana mkuu,.

Nakushauri umuweke huyo mpenzi wako mbali na majukumu ya ofisi yako usije kujutia zaidi!!!

Mapenzi na kazi wapi na wapi!!!
 
Sina hekima kama King Suleiman ila kaka yangu huyo dada hakufai! Kama kaweza kukucheat hamjaoana nini kitamzuia baadae? Na umesema kakupa hasara za kutosha, umesahau kila mafanikio ya mwanaume yanahitaji mwanamke mwenye akili nyuma yake? Sasa hayo mafanikio yatasimamaje kama kazzi hazienda na kakutia hasara? Huhitaji PHd kujua hakufai. The worst will still come up based on her behaviour now! And u will lose if u dont take care now.
 
...ananipenda sana.....Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

Hahahahahahahahahahaaaaaaaaa! Kwandha nakucheka kwa kukremu na kusahau kuwa kulia ni art! Hata kingwendu anaweza kulia na akatoa machozi hata kama anafuraha!
...
Mbili nakupa pole!
Poyeeeeee kwa kugongewa demu wako ktk site yako na control yako!
Then poye kwa kutiwa hasara!
Lol! All problems on you!
...
Tatu nakukumbusha hivi:
Ukitaka uishi maisha ya maigizo, ruhusu moyo kudetermine matters/issues instead of minds!
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

usiuseme moyo wa mtu....... kulia sio sababu au kujutia bali inaweza kuwa silaha ya kukudhoofisha/ kujikinga apate kuonewa huruma
kuwa mwangalifu yasije yakatokea yanayoendelea kwa vijana wa sasa
 
ameshakupa hasara ya millions of money… kumbe kikubwa ni investment yako
 
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!

Kanuni ya SEPARATE ENTITY iekupitia kushoto eeeeh! Hapo sikufichi hakuna cha shoti wala loss WANAKUIBIA na huyo sharobaro wa hapo ofisini soon baada ya kukutumikia kafiri na kupata mtaji wao utawasikia kwenye baomba tu! UNACHUNWAAAA KAKA! Na ule msamaha uliombwa ni funika kombe mwanaharamu upite sababu mtaji haujatosha, wanakula na wewe kipofu bila kukushika mkono! Ukitosha utaisoma namba!

DONT SAY I DIDNT TELL YOU!!!!!!!!! Bora hio kazi unigee mie and I WILL MAKE YOU RICH BEYOND YOUR IMIGINATIONS ila kuvuana pichu hakuna! strict business!
 
kamanda kova jiandae kuna mauaji mengine yatafanyika kabla ya xmass ...
 
Habari za muda kama huu, poleni na majukumu ndugu zanguni.
Jamani mkisikia mtu anakwambia kua uyaone basi subiri ukue,...
Naomba niwaeleze mkasa wangu Kama ifuatavyo..
Miaka Kama miwili hivi iliyopita nilifanikiwa kupata mchumba ambaye Kwa muda huo huo nilimchukua kutoka Kwa wazazi wake maana nao hawakuwa na neno ukizingatia heshima niliyonayo ni kubwa sana. Baada ya kuchumchukua huyu mwana dada kulingana na Elimu yake(diploma) nilimpa kazi kwenye kampuni yangu binafsi, awe kama manager,ukizingatia nilikuwa nimeweka mameneja wengine ambao walikuwa wananiibia sana. Siwezi kusimamia management mimi mwenyewe kwani hivi sasa niko Masomoni "mbali" na kazi zangu.
Baada ya huyu dada kuingia kazini Kwa kweli kazi haziendi mbaya zaidi niliambiwa mwanamke Wangu anatembea na mtu pale kazini, kumuuliza mchumba wangu alilia sana akaomba msamaha,ila akasema ni kweli na ilikuwa bahati mbaya kwa sababu ya mazingira halafu "stress" za kazi na akaahidi jambo Kama Hilo hawezi kuja kufanya tena na anaomba msamaha Kwa Mungu wake pia kwani amekomaa sana.
Kwa kweli nilisema nimemsamehe ila deep in my heart napata wasiwasi Kama ameanza hivi na Kama msamaha wake ni kweli au la!!
Nampenda kupita maelezo huyu mwanamke na mpaka sasa ameshanipa hasara hasara kweli, millions of money. Sasa najiuliza nimwache nikubali kuumia tu au niendelee nae perhaps nikimaliza masomo huku niliko tukawa pamoja mambo yatabadilika.
I really really love this woman.
Naomba ushauri please nifanyeje...
Msamehe2 na endelea nae ila ujue tayari an Ngoma,,,
 
Back
Top Bottom