Mng'ongo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2013
- 243
- 191
Daah pole sana Kaka ila mm cjafikia hatua hyo ya kuishi na mwana mama nadan ya nyumba ila kuwa makin sana na hawa wana wake ni wasanii sana kuliko una vyo fikiria pia huyo shemej yetu kagundua kuwa una mpenda ila sawa kaku cheat sa kwann akutie loss ya mamilion ya pesa?
Na hali ya kuwa anajua ww upo masomon na ile kaz ni kwa ajil yenu WASWAHILI hunena ukijua jambo mwanzo bac uta lijua na mwisho na pia hapo ww kinacho fuata ni hyo shem kuua kampun na kuku kimbia maana ata kuwa amesha kurudisha nyuma mweke mbal na biashara yako na tena asi sogelee ili ujue 1 km una umia uumie kwa kupenda kuchapiwa tu wana wake wapo weng tu tena wanao jua nn kupenda na kuthamin
Kwa ushaur tu muweke mbali na biashara ila hlo la kupendana maamuz ni yako pia kumbuka
Kama usha anza kuonja/kula nyama ya Binadamu bac kila siku utataka kula
By Don Me!