Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

mkuu samahani sana..lakini haina jinsi nadiriki kukuita FWALA,BOYA, BWEGENAZI, ZOBA, NYAMBAF...mkuu samahani..sana sikuwa na namna ingine but unastahili...
 
pole sana mkuu but kumuacha sio kutatuatatizo ila jarib kumuulza kitu gan hapati kutoka kwako ambacho anapewa na huyo mwingne then mtimizie 2 mambo yataenda sawa na mtapendana zaidi..
 
Naweza kusema ananipenda sana pia. Yuko tayari kwa lolote pia. Huwa nikikasirika kwa sababu yake, yeye ni kulia tu na kusema kama akishindwa kunifurahisha mimi basi Dunia yake yote haina maana.

Unaonekana limbukeni wa mapenzi mkuu. Kutoa mchozi ndio kupendwa? Ngoja ufundishwe ya mapenzi ukifilisika ndo utajua anakupenda au ni crocodile tears
 
Pole kaka ila mapenz muamuz no we we mwenyewe pia unapotaka kuchukua maamuz magumu tuache wachangia tuongee halafu utachuja mwisho WA maelezo yako umesema unampenda sana kwakuwa unampenda kwa hiari mpende ila kama ningekuwa mm nisingesumbuka kuendelea kumpenda MTU msaliti asiye jua thamn ya gharama nilizo poteza km naamin mapenz yanakufa il a maisha yanasonga mbele ila usimpige MTU Lisa's wala usichukue maamuz ya kishetan
 
Back
Top Bottom