Nampenda lakini hanijali

Yap!
Ni kweli kabisa!
Mwenyewe nilijua nitapata ban!
Nakumbuka kuna siku uliniambia mi nnahasira sana!!! Mh! May be! Kwa mtu anaenikera MAKUSUDI!
Yule jamaa alinitusi!
...
Hem niambie, na yeye alifungiwa?

umetoka kifungoni........U deserve that ban for sure
 
Yap!
Ni kweli kabisa!
Mwenyewe nilijua nitapata ban!
Nakumbuka kuna siku uliniambia mi nnahasira sana!!! Mh! May be! Kwa mtu anaenikera MAKUSUDI!
Yule jamaa alinitusi!
...
Hem niambie, na yeye alifungiwa?

niliona tu pale....unapanick haraka sana
na ban ulijua tu utakuwa nalo ndio maana ulianza na kusema

ye nilimuona free sa sikufatilia ka kifungo kilimpitia ama
 
aish! naomba kufuta ushauri wangu wa mwanzo...baada ya kusoma sehem uliyosema ushashrkisha hadi marafk na watu wengne lakini kawa jiwe mtu huyo haifai hata kwa mchuzi, kimbia na upotee na usijegeuza shingo ukawa mke wa luthu.
 
ukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others

najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real
Pole jamani mydia, unavyoandika ni kama nakuona machozi yanalengalenga kwa uchungu na hasira, sisi wanaume ni wabaya sana wakati mwingine. Mungu atusamehe
 
Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!

Pole sana #mimi49 i can feel what your passing through neno langu ni mmoja tu
Kama kweli unampenda mchukulie alivyo na uendelee kumpenda, ikiwa utaona huwezi achana nae maana anachokupa hata mimi naweza kukupatia......
 
ukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others

najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real

So am I. Yaani kama ni mimi vile. Pole my dear mimi49 huko tumepitia wengi hasa sie wadada, wanaume hawa hawana maana kabisa ndugu.
kama mlishaachana as u said ni vema i hope uko vzr now na ur wound ipo healed tayari. mungu atakusaidia kumlea mwanao.
Pole for what happened to you.
 
Last edited by a moderator:
Pole jamani mydia, unavyoandika ni kama nakuona machozi yanalengalenga kwa uchungu na hasira, sisi wanaume ni wabaya sana wakati mwingine. Mungu atusamehe

Bora wewe umeongea ukweli, hata sijui mna mdudu gani. Honestly ht mie nimelengwa na machozi zaidi kuona aliyeumizwa ni mimi49.
 
Last edited by a moderator:
A
Pole sana #mimi49 i can feel what your passing through neno langu ni mmoja tu
Kama kweli unampenda mchukulie alivyo na uendelee kumpenda, ikiwa utaona huwezi achana nae maana anachokupa hata mimi naweza kukupatia......
Ahsante!!Hapana simpendi tena...kanitoka moyoni...nina ila moja nikipenda napenda kwa dhati na nikikuchukia ujue ndo byebye no way back...kila nikikaa na kufikiria nafikiri maumivu tu alonipatia...kwenye mapenzi lazima kuwe na happy moments zaidi kuliko bad moments!kiasi cha kwamba hata ukiumizwa una kitu chakukufariji!!lakini kwa upande wangu mimi the misery overpowered it all so ITS DONE!Na sijutii hata alikuwa akinizibia riziki zangu tu!
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom