Nampenda lakini hanijali

wangu mi naona umechukua uwamuz mzur2 ,unachopaswa kufanya ni kufocus kwenye maisha yako na mtoto uliyenaye ,t pains i knw bt smtymz we've 2let go we cnt force smthng ts bad napia ni vbya kuanzisha mahusiano na m2 ambye haumfahamu kiundan zaid.Also m2hawez ona uthaman wko mpka atakapokukosa.u jas go on wit ur lyf give chance to dos hu r true 2u,cares 4u n'makes u hpy though dnt expect km mapenz yatakuwa smooth.
 
Attachments

  • 1383997862666.jpg
    1383997862666.jpg
    41.2 KB · Views: 182
I am more than OK lol....Just the kid and myself...dont u think that something is still lacking?:A S 39:

well..untill when you really want/need it...it may sound a basic want/need, but u have to think outside the box as well, time will come when you will have plenty of it.......for now relax and focus on what you do best
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
mimi49 ni wewe au unamsemea mtu? niliachana na mwanamke alinionyesha tabia kama hizo. nilikua nampenda sana ila....
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!

Mshauri nae huyu jamaa wako wa zamani aje hapa alete utetezi wake maana si vyema kutoa maoni kwa habari za upande mmoja!

Mlete X wako hapo nae tumsikilize ahahaha
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

du! kweli mapenzi hayaeleweki, wengne wanafurahia na wengne wanaumia any way kama utaamua kuoana naye kisa unampenda na uendelee kuumia kazi kwako mana hakuna kitu cha msingi duniani zaidi ya kuwa na furaha na amani ya moyo lea mtoto wako endelea na maisha yako mana kama hajali feeling zako na ujiskii kupendwa why should you bother. maisha mafupi ati
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

Sasa ndo nimejua kwann umemtamani yule jamaa dereva. Kumbe unalove problems na mzazi mwenzio.

Kaeni chini nae muelezee unavyofkiria,alaf uone atasemaje
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

Huyo hana mapenzi na wewe. Nionavo mimi ni wewe ndo una mcheche naye na ni wewe ndo uli
tamani kuzaa naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom