Nampenda lakini hanijali

Mapenzi c kidonda lkn yanaumiza,Mapenzi c Msiba lkn yanaliza,yana raha na karaha zake. Raha ni umpate mnaependana,karaha ni pale mwnzako akiwa na tabia tofaut km hivo. Tusiishie kupenda kwamoyo tu bali 2pende na kwa akili pia.
 
Pole sana. Naelewa ukimpenda mtu inakuwa matatizo makubwa sana pale unapoamua kuachana naye kumtoa akilini mwako, lakini hapa penzi lilikuwa la upande mmoja tu. Yeye alikuwa anafurahia kuwa nawe katika faragha tu zaidi ya hapo hakukujali wala hakukuthamini kabisa. Mwanaume mwenye mapenzi nawe kamwe hawezi kulalamika kwamba umemuharibia usingizi wake kwa kumpigia simu kumfahamisha kwamba unaumwa. Sepa haraka sana kabla hajakupa ujauzito mwingine. Sasa hivi weka efforts zako zote katika kumlea huyo mwanao asiyekuwa na baba (I am very sorry to say so)

Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Naelewa ukimpenda mtu inakuwa matatizo makubwa sana pale unapoamua kuachana naye kumtoa akilini mwako, lakini hapa penzi lilikuwa la upande mmoja tu. Yeye alikuwa anafurahia kuwa nawe katika faragha tu zaidi ya hapo hakukujali wala hakukuthamini kabisa. Mwanaume mwenye mapenzi nawe kamwe hawezi kulalamika kwamba umemuharibia usingizi wake kwa kumpigia simu kumfahamisha kwamba unaumwa. Sepa haraka sana kabla hajakupa ujauzito mwingine. Sasa hivi weka efforts zako zote katika kumlea huyo mwanao asiyekuwa na baba (I am very sorry to say so)

Ahsante kwa ushauri wako BAK nishasepa longtime!mpaka nikajiuliza nilikuwa nasubiri nini siku zote?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!
duuuh why mimi! si uachane nae tu shost wangu! kwani umemkosea nini mungu! wanaume wapo kibao na mungu atakupatia wa kwako dear! i wish ningeweza kufunga moyo wako winchi niuvute utoke kwa huyo bazazi!
 
Pacha huu uzi wa tangia mwaka jana...tushaachana na huyu mtu nimeshindwa!
 
duuuh why mimi! si uachane nae tu shost wangu! kwani umemkosea nini mungu! wanaume wapo kibao na mungu atakupatia wa kwako dear! i wish ningeweza kufunga moyo wako winchi niuvute utoke kwa huyo bazazi!

alishasepa dia..mwanaume wa aina hiyo huwezi kumvumilia hata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mimi49 nimefeel mbaya jamani........baadhi ya wanaume sijui wakoje yaani stori

yako inaendana na mimi kwa namna fulani ila to let him go was the best decision ever

ungeumia sana tu.........
ahsante dear..and the worst thing ni kwamba i knew the whole way it wouldnt work but i just kept on holding on expecting for a change..but somethings never change...huwezi kumbadilisha mtu ambae hayuko tayari kubadilika!
 
ukiongea hivi najiskia vibaya zaidi......some people give us the reason to hate others

najishanga nimeumia sana ndani ya moyo wangu for real
 
U cant control everything,
Sometimes u just need to relax and have faith that everything will work out.
Let go a little and just let life happen.

But most important...
Never loose urself when trying to hold on someone who doesnt care about loosing u....
 
Dada uclie uamuzi wako nimzuri sana hatamie nilikuwa hivyo yamkini zaidi yko ilifika ha2a nilizoea hatimae ni mezoea hata nikimwona cumi tena na mshkr mungu ame2umbia hali ya kusahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom