Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
- Thread starter
- #121
Ili iweje?Maigizo haya
Ili iweje?Maigizo haya
There's always other side of the story...pole though.
Huyo mdudu tuliyenaye anaitwa 'athumani jicho moja' au 'abdallah kichwa wazi'....
hapa ndio ukaniua lol. Hata sikutegemea ila ilibidi nikubali. Mwambieni ajirekebishe ndio nini kuwatesa wadada hadi lini?
you are so nice mydia but pesa matters a lot bana, inabidi kuwa nazo ili maisha yasilete mushkeli"Nadhani ukisoma ulichoquote utaelewa kwamba pesa haina thamani kwangu"kucare sio kupewa pesa bali kumjali mtu emotionally..kuwepo anapokuhitaji,kumthamini inahusika zaidi na hisia;kuzijali hisia za mwenzako!n.k
Mmmmmmmmmhhh hadi wewe christine ibrahim wa kutuponda sie jamani, si unajua dunia bila wanaume haijakamilika, hahahahajamani pole my dia hawa ndo wanaume zetu
wadada wakisema waeleze hapa utashangaa utaona bora ww.
bt cha msingi kuikubali hali halisi with tym unakuwa ok.
Bora wewe umeongea ukweli, hata sijui mna mdudu gani. Honestly ht mie nimelengwa na machozi zaidi kuona aliyeumizwa ni mimi49.
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
"I Will Always Love You"
If I should stay
I would only be in your way
So I'll go but I know
I'll think of you every step of the way
And I... will always love you, ooh
Will always love you
You
My darling, you...
Mmm-mm
Bittersweet memories –
That is all I'm taking with me.
So good-bye.
Please don't cry:
We both know I'm not what you, you need
And I... will always love you
I... will always love you
You, ooh
[Instrumental / Sax solo]
I hope life treats you kind
And I hope you have all you've dreamed of
And I wish you joy and happiness
But above all this I wish you love
And I... will always love you
I will always love you
I will always love you
I will always love you
I will always love you
I, I will always love you.
You.
Darling, I love you.
I'll always...
I'll always love you.
Ooh
Ooh!!!!!
kwako Smile .. whitney houston katoa message kali sana kwenye huu wimbo!
jaribu kupitia mashairi haya bi dada!
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
Kila kitu kilitokea haraka mno siwezi kusema specific details zaidi ya nilizotoa!Ila uzembe unahusika kwa kiasi kikubwa!Wanawake walio wengi wanatekwa kupitia mitandao ya kijamii.
Wewe unachat tu na kupenda? Hiyo chongo. Kupenda pia unapaswa umfahamu mtu.
Really?Tell me about it!!