mapenzi haya,inasikitisha kwa kweli.deep down unajua kabisa kama huyo mtu hana mapenzi na wewe.lakini bado tu umo na kuamini,ipo siku atabadilika.shosti,huyo sio mume wako,jipange maisha kivyako,pengine miaka yote hiyo na distance yenu,atakuwa ameshapata mtu.jaribu kukaa kimya na uanze maisha kivyako.utakuja kupata mtu ambae atakupenda.achana na huyo looser