Nampenda lakini hanijali

wewe unamuongopea mwenzio ampige chini! mwenzio kasema kamuacha ila bado anampenda so hawajaachana, utaonekana mmbeya - mpe confidence mwenzako aendelee kumpenda mwenzake coz bado anampenda, pia, I thought ungemshauri azidi kumvumilia coz she had him for over 4 years, kwa nini amshindwe sasa? Mwambia nadhani huyo shemeji yetu hana kazi, so ukiwa too demanding kwa vitu vikubwa ambavyo ni zaidi ya uwezo wake ataona kama unamcheka/unamsanifu - hasa hayo mambo ya matibau kwake una maanisha bill na anatakiwa kulipa, awe anamwambia kuwa anaumwa ila "I have gone for medical check up and dr. kasema nitapona kama nitamaliza dose", keep praying for him apate kazi, and mind you sijasikia anasema huyo shemeji anam-cheat...mshauri avumilie please ni mambo ya uchumi tu hayo[/LEFT][/RIGHT][/LEFT]

Tatizo co uchumi tatizo hanijali hata emotionally wachia physically,yaani haoneshi mapenzi!mwenzio akiumwa muhimu umjulie japo hali!!
 
You are not serious!
Cut the joke and be real. This is just disguisting.
Acha kupoteza muda wako wewe, utaja lia vibaya sana and it will be too late.

Nimeshaongea nae sana lakini habadiliki nimeshaongea na watu wake wakaribu Pia wakaongea nae lkn bado hali ni ileile.Najua miaka minne ni mingi na tunafahamiana vizuri usemavyo ni kweli Ila nafeel we r nt meant to be together ndio maana hatuendani na ndio maana hajali!na ana ile tabia ya kununa,nikimkera mimi atanuna nimbembelezee weeee lakini akinikera mimi Pia atanuna yeye na niombe msamaha mm wala hajali yaani kama nimekerekwa mimi!!
 
kuna wanawake mna roho ngumu... au ndiyo mnaenda sambamba na ile methali inayosema kwamba 'kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni?'
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

Maisha ya mapenzi yanachangamoto nyingi, my take frm ur post ni kwamba unampenda huyo kaka ambalo ndio jambo muhimu, kikubwa I think you have to concentrate to what makes you love him pia jiangalie na wewe unakosea nini ili maisha yaendelee, mapungufu yake jaribu kutafuta jinsi ya kuyaziba wewe, fanya kazi lea mtoto huku ukimsihi taratibu na yeye ajiinue. Kuna kesi za kuachana dada ila si hiii ya kwako, hakuna aliyepefect ila utamfanya wewe awe perfect
 
kuna wanawake mna roho ngumu... au ndiyo mnaenda sambamba na ile methali inayosema kwamba 'kusikia kwa kenge mpaka atoke damu masikioni?'

Usifanye mchezo na kupenda ndugu yangu....! Yakikukuta ndio utaelewa nini huyu dada anachomaanisha.
 
My dear huyo mwanaume hana mapenzi kwako hata kwa udogo wa punje ya haradali.ushasema hana feelings which is the most important in relationship,yani hayo majibu aliyokupa wakati unaumwa ningemwacha on the sport.halafu nikwambie wanaume miundombinu huwa hawana mapenzi kwa wanawake wanaowalelea feelins zake ziko kwa mwanamke mngine kabisaa..kupenda na kusahau ni mambo ya kawaida mwache na ukiona unamuwaza ingiza negative zake fasta.unamsahau watu tullishapenda tumechoka sa hizi kila kitu kinaenda bila usumbufu,kwanza anakufanya usimtunze mtoto vizuri utapata akupendaye tena mwenye kubwa zadi ya hicho kinachokufanya usiweze kumwacha if at all there is somethin.
 
Join Date : 21st June 2010
Ni aibu kubwa kutuuliza hili suali ilhali wewe ni member wa siku nyingi huku ,au hupitiagimara nyingi?
maana jibu liko huku na wenye same scenario sasa
homework kwa Mtambuzi hebu mtag thread zote zinazohusu suala hili maana wewe ni gwiji mtambuzi wa masuala haya
 
Last edited by a moderator:
Tatizo co uchumi tatizo hanijali hata emotionally wachia physically,yaani haoneshi mapenzi!mwenzio akiumwa muhimu umjulie japo hali!!

Bahati mbaya umejaribu kutufahamisha uhusiano wenu ukiwa katika hali mbaya, na hatufahamu mlipoanza relation ilikuwaje? (nzuri au mbaya), was the guy taking care since the first day ila akabadirika? au alikuwa na tabia hii tangu mnaanza uhusiano? ila ulichoonyesha tangu awali ni kuwa huyu jamaa hana kazi! hebu nisaidie kwa hayo kwanza.
 
Hpo uliposimama sio pako unazidi poteza muda huyo hakujali sasa ndo inakuwa kesho, zinduka
 
Usifanye mchezo na kupenda ndugu yangu....! Yakikukuta ndio utaelewa nini huyu dada anachomaanisha.

are you kidding neylu? hivi kuna kipya kwenye mapenzi ambacho watu wengine hawajapitia? tusiendekeze mapenzi ya kinyanyasaji kwa visingizio vya ku-fall head over heals kwa watu ambao wala hawaonyeshi hata chembe ya kujali
 
Last edited by a moderator:
Tupa kule huyo mtu. Miaka yote hiyo! Hata hivyo umejitahidi sana, mwanaume asiyekujali japo kwa hali si mwanaume.
 
B
Bahati mbaya umejaribu kutufahamisha uhusiano wenu ukiwa katika hali mbaya, na hatufahamu mlipoanza relation ilikuwaje? (nzuri au mbaya), was the guy taking care since the first day ila akabadirika? au alikuwa na tabia hii tangu mnaanza uhusiano? ila ulichoonyesha tangu awali ni kuwa huyu jamaa hana kazi! hebu nisaidie kwa hayo
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

Pole sana, kumoeda mtu ambaye hana kazi,hana mapenzi ya kweli, hana hisia na wewe,hata hivyo hujasema ni kipi unachompendea mtu kama huyo
asadict with this deal feelings;tena anasema wazi kuwa nataka akuoe, sasa anakuaje iwa hata simu yako kuipokea ni tatizo na ukiumwa anasema huo ni ugonjwa wako? Kw maana ingine hata ukifa ni shauri yako
Nakushauri uachane na huyo mtu ni hatari kuliko Iddy Amini kwa sababu alitakiwa aku-care hasa kwa sababu ni mzazi mwenzako na huko nje ya nchi, uko mbali na ndugu na jamaa zako.Yeye ndie kama friend angetakiwa awe mstari wa mbele kukutia moyo- sasa anakuambia eti "uugonjwa si wako mwenyewe" tena "ukome kuniamsha usiku" halafu the same guy anarudi anasema "nataka kukuoa" thats irony
This cursed rogue is fooling you, and he will never stop till he has given you another child or has destroyed your entire life
My sister-kick him out, let me teach you something about leadership, sometime you have to be democratic, sometimes laizer fair but sometimes you must apply dictatorship especially when you are in a tight spot like this one. Find a faithful ma to live with
 
Niko kwenye mahusiano ya Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?

Pole sana, kumpenda mtu ambaye hana kazi,hana mapenzi ya kweli, hana hisia na wewe,hata hivyo hujasema ni kipi unachompendea mtu kama huyo
a sadist with dead feelings;tena anasema wazi kuwaa nataka akuoe, sasa anakuaje ikiwa hata simu yako kuipokea ni tatizo na ukiumwa anasema huo ni ugonjwa wako? Kwa maana ingine hata ukifa ni shauri yako
Nakushauri uachane na huyo mtu ni hatari kuliko Iddy Amini kwa sababu alitakiwa aku-care hasa kwa sababu ni mzazi mwenzako na huko nje ya nchi, uko mbali na ndugu na jamaa zako.Yeye ndie kama friend angetakiwa awe mstari wa mbele kukutia moyo- sasa anakuambia eti "ugonjwa si wako mwenyewe" tena "ukome kuniamsha usiku" halafu the same guy anarudi anasema "nataka kukuoa" thats irony
This cursed rogue is fooling you, and he will never stop till he has given you another child or has destroyed your entire life
My sister-kick him out, let me teach you something about leadership, sometimes you have to be democratic, sometimes laizer fair but sometimes you must apply dictatorship especially when you are in a tight spot like this one. Find a faithful ma to live with
 
ushauri wangu kwako ni huu miaka 4 imetosha kukufanya umjue na ukweli ni umri wa mtu kufikia hatua ya kuamua kwa dhati. he is wasting your time piga chini mshukuru kwa kupata mtt carry on with your life atakuja mwingine tu. but kama uko nje na si mswahili uwe makini sana asije akakuua wewe na mwanao manake naskiga ndo revenge zao

Is u or am dreaming??What about kumpikia supu nanihiiii!!
 
Is u or am dreaming??What about kumpikia supu nanihiiii!!

they are not spouses but lovers Eiyer. angekuwa mume sawa lakini mpenzi tu kisa kakupa ujauzito simshauri avumilie she still have time.
 
Last edited by a moderator:
sasa mwanaume na vituko vyote bado ulikua unafikiria kuolewa nae...aisee kweli penzi mh ngoja nikaipitie thread ya mtambuzi ka alivyosema flani hapo juu nione kasemaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom