nampenda lakini anajifanya hajali

nikamueleza how i feel, alichojibu ni kuwa kwa sasa anamtu anatoka nae na ni kweli, ila hana malengo nae yoyote in future

kwa kifupi huyo jamaa yako hajatulia na ni player.... next time, roles zita-change..... wewe ndiye utakayeshushwa daraja na kuonekana jamaa hana malengo na wewe
 
Ktk maisha ya binadamu hasa kunako mapenzi, jinsia moja imeendelea kuwa ni 'beneficiary wa mapenzi' huku nyingine ikiambulia maumivu. hapa kuna mtu anajipalia makaa ya moto mithili ya samaki pweza ktk jiko la mkaa!
 
Hii mimi huwa naiita 'SHUNTING'. Yaani ni kama treni inabadilisha mabehewa........haya ya kigoma yaanze, then yafuatiwe na ya singida, rukwa, mwanza nk.
 
gfsonwin mbona nyie wengine mnakuwa wagumu kufahamu everyone has a different love idea.

Nakuliza hivi, if a girl doesn't have love feelings on a boy will she get it later!!
 
You see,that is what i was waiting for,am a big fan of yours,gfsonwin and i will give you a shout when am troubled,mungu akubariki sana

aah wewe bana! thanks. kumbe huwa naongeaga na watu eeh sikujua aisee lol.
 
kwa kifupi huyo jamaa yako hajatulia na ni player.... next time, roles zita-change..... wewe ndiye utakayeshushwa daraja na kuonekana jamaa hana malengo na wewe
cartura mzima jamani kaka yangu wa moyoni? lol haya niambie hii beige yako ni sh ngapi vile? nimeipenda hii aisee
 
Last edited by a moderator:
wewe si uliringa sasa inakuuma nini??? acha wenzako wafaidi....endelea kuringia na wengine tena....
 
gfsonwin mbona nyie wengine mnakuwa wagumu kufahamu everyone has a different love idea.

Nakuliza hivi, if a girl doesn't have love feelings on a boy will she get it later!!
fazaa umesahau kwamba love takes time to grow jamani! siyo kwamba silifaham hilo la hasha na ndio maan nika kumention ili ujue love can grow kama ikipewa muda mumy.
 
Last edited by a moderator:
Hana lolote huyo ana pima upepo tu! Ukitaka kuamini kama ana kupima mwambie aendelee na huyo mtu wake ,usikie atakavyo sema.

Ni wanaume wachache sana tunaweza kusema nafasi zimejaa au ina mtu!
Kwa wanaume wengi nafasi huwa ziko wazi kila siku.

Kabisa Rutta
 
wakati mwingine mnawakosa watu wanaokupendeni kwa dhati vivi hivi...mapenzi bana nadhani definition yake tafauti kwa kila mutu ndo maana kizungumkuti
 
Jaman hata mimi nashangaa sijui inakuaje? Yaan hata mimi naweza nikawa na feelings na mdada but nikishaona hana negative reactions mara nyingi nakubali kukosa na ku move on, sasa unakuta mtu anarudi but hata nijitahid vipi kurudisha feelings haziji, yaan kuna mmoja nilijitahid sana kuanza kumpenda tena but feelings zikawa haziji na kabla hatujaenda mbali ikabid nimuambie tu kwamba sina feelings zotote na sihitaj relationship now as I am too busy, alinielewa japo kwa machozi.

Lazima tuukubali ukweli kwenye maisha tunakutana na changamoto nyingi, na tunakuwa exposed sana na tujavyotembea huku na huku, hivyo akili kubadilika na kupoteza mawazo na feelings kwa mtu ni rahisi sana kama msipokuwa karibu, wadada na wakaka lazima tukubali kwamba time is money so mtu kama unampenda funguka fasta
 
fazaa umesahau kwamba love takes time to grow jamani! siyo kwamba silifaham hilo la hasha na ndio maan nika kumention ili ujue love can grow kama ikipewa muda mumy.
gfsonwin nadhani unaongelea love from both sides, sio from one side of love....Yule alikuwa hana feelings na jamaa mbona hutaki kufahamu....Mtu aliye kuwa hana feelings na mtu vipi aje kuwa na feelings naye baadaye?

Mtu kama humpendi huwezi kumpenda na hata kama ukimpenda usiye mpenda utakuwa unajitesa wewe na mwenzio.


Afu nani mumy, au mpaa nije kukushindilia nao ndo utajua mimi mwanaume.
 
Hukukosea kumkataa mwanzo. Ina maanisha wewe hujamtamani tu, umempenda. Upendo unachukua muda kuingia moyoni.

Shukuru Mungu kuwa yuko honest kwako. Angeweza kukudanganya akupitie kama hakuwa na nia nzuri na kukumwaga (fazaa hataki kukiri hili). Ulipomkataa, akawa desperate na ameumia, akarukia tawi la karibu. Mpe muda, na usimzonge sana. Jitahidi kupunguza mawasiliano nae. Usikilize moyo wako, utakapojisikia humpendi tena muambie kwa ustaarabu. Kama ndo Mungu kakupangia huyo atarudi, kama sio wako uwe na amani wa kwako atakuja. Wanammalizia ma-scrub aje sop sop!

Nimependa ushauri wako kama mungu amepanga awe wako atarudi tu worry not!kuwa na subra!
 
Wanaume wako hv,anapenda sana mwanzon anapokuapproach,ila wanakata tamaa mapema sana unawazungusha,take time na msikizie huku ukiangalia kwamba anachokisema atakitekeleza.
 
wanaume siku zote ni hunters/predators...ukijipeleka atakukula regardless ana msosi mwingine au la...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom