nampenda lakini anajifanya hajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nampenda lakini anajifanya hajali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mymy, Jul 14, 2012.

 1. m

  mymy JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Habari za asubuhi. kuna kaka aliniapproach ukweli sikumfeel kwa muda ule. lakini muda umepita tukiendelea kuwasiliana kwa simu na sasa najiona nimetokea kumpenda kidhati kabisa. nikamueleza how i feel, alichojibu ni kuwa kwa sasa anamtu anatoka nae na ni kweli, ila hana malengo nae yoyote in future. ameniomba nimpe muda aweze kusolve issue na huyo wa sasa. mimi huku ndo nazidi kuumia je nimpe muda kweli ama ndo story tu nichape lapa? ushauri wowote unapokelewa.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh, pole.
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kupenda kwa siku hizi kunachekesha kwanza hujampenda afu ghafla umempenda.

  Mimi navyo jua mtu akisha penda ujue kapenda, na kama hajapenda toka mwanzo ni vigumu kupenda.

  Pole sana kwa kupenda ulio kuwa huna feeling naye toka mwanzo.
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  huwaga ni hodari kwa kushauri lakin hapa mmmh..........nikae kimya.
   
 5. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Pengine mwanzo aliona hawezi akamridhisha ama baada ya kumchunguza na mawasiliano ya karibu akaona anamfaa..hiyo mbona ipo. Ila tu inaelekea kamzungusha sana mpka jamaa akakata tamaa na huenda hata wakiingia katika mahusiano huyo jamaa asimpende kivile...
   
 6. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mmmh gfsonwin toa ushauri najua una hazina isiyokwisha bwana,you are my desirable bwana.Just waiting for your comments
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sa si inategemea na mtu gani unaye mzungusha lazima ujuwe kuna watu wako kama kina fazaa ukijidai kusita sita wanakupiga mkasi kabisa na kumbuka sio kila mwanaume ni cheaper wengine wanajipenda na wanajithamini habaki kubembeleza.
   
 8. by default

  by default JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  gfsonwin wewe tena.ni mawazo yangu the fall of Lizzy the rise of wewe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aisee!
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Wanawake bana,unamwambia lengo lako,anadengua,unatembea zako.Anarudi sijui inakuwaje!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ukiona hivyo ujue huvutii kwa mbele ukiwa unamwangalia, ukigeuka kuondoka anavutia na huko nyuma.

  Ndo maana anakukimbilia urudi tene.

  Chezeiya akili ya mwanamke wewe.

   
 12. by default

  by default JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama wewe ukumfili sasa unampenda,amesema hana malengo nae wakati unasubri asolve nae nauakika atakuwa kesha pata malengo nae.nin kimekufanya umpend xana kama ningekuwa ni mimi nakumega then naku dump kweny recycbin ili usipatikane tena
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hukukosea kumkataa mwanzo. Ina maanisha wewe hujamtamani tu, umempenda. Upendo unachukua muda kuingia moyoni.

  Shukuru Mungu kuwa yuko honest kwako. Angeweza kukudanganya akupitie kama hakuwa na nia nzuri na kukumwaga (fazaa hataki kukiri hili). Ulipomkataa, akawa desperate na ameumia, akarukia tawi la karibu. Mpe muda, na usimzonge sana. Jitahidi kupunguza mawasiliano nae. Usikilize moyo wako, utakapojisikia humpendi tena muambie kwa ustaarabu. Kama ndo Mungu kakupangia huyo atarudi, kama sio wako uwe na amani wa kwako atakuja. Wanammalizia ma-scrub aje sop sop!
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ningekuwa mimi ningetambaa zangu...keshamove on kama hana malengo naye, probably he didn't have any longterm plan with you too to start with. Angekuwa bado anakumind and since hana malengo naye it would be a minute decision.

  Kurudi kwake ni kutangaza kutaka kumegwa na si punde atasepa zake..
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si ajabu kisha megwa ndo mana kapenda sasa :bounce:
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyo ana pima upepo tu! Ukitaka kuamini kama ana kupima mwambie aendelee na huyo mtu wake ,usikie atakavyo sema.

  Ni wanaume wachache sana tunaweza kusema nafasi zimejaa au ina mtu!
  Kwa wanaume wengi nafasi huwa ziko wazi kila siku.
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  You guys KIKUNGU and default i love you.Thanks.


  mmnenifanya nifunguke japo i just wanted to stomach up whatever i have.
  mtoa mada unapaswa ujue kwamba maisha hayana kanuni never. si kwamba kwakua watu wengine wakitongozwa wanakubaliana ndani ya muda mchache basi na kwako inatakiwa iwe hivyo hivyo. fazaa na Eiyer sijui kwanini wana overlook hili.Ila King'asti kasema vyema sana.

  hivi jamani hamjawah kuona mtu anafwatwa na mkaka anamchomolea may be yuko na mtu mwingine lakin baadae unakuja kukuta yule ambaye aliambiwa natembea nafulani ndiye anayekuja kuoa na yule aliyekuwa anamiliki wakati huo anapigwa chini? Hii si kwamba eti ni umalaya ama nini no hii ni complexity of life tu so kwanguu mimi kumwambia kwa wakati ule kuwa you dont feel like kuwa naye lilikuwa ni jambo jema sana manake you said the truth. Kwasasa umejikuta unadevelop feelings kwake it means kwamba kuna intimacy ndani yenu.

  What to do just stay calm wala usimbughudhi kwa chochote kile, listen to your heart and naamini kama Mungu aliwapanga naye he will be suffering from the same thing kule ataachia ngazi tu. usipaparike uone kwamba anakupotezea muda uanze kuhangaika na wengine muda bado wewe kaa kimya jipange wala usishoboke pia waza mambo yako ya msingi zaid kuliko hayo ya mapenzi hadi atakapokuja kwako.

  Kuna hatari ambayo naiona nayo ni ya wewe kujitongozesha ama kumuonyesha kuwa uko deep kwake. yaani kama wakati wa kunata na beat ndipo hapa,uwe na staha za kike zenye utu wa kike, usijipitishe wala kumuonyesha action kwamba your down. be strong and woman enough usimpigie simu labda akupigie akitext respond accordingly.

  kwanini nasema hayo? with time utamjua kama kweli naye ana feel the same still or not pia itakupa nafasi ya wewe kukubaliana na matokeo yeyote yale iwe ya kukubaliwa ama kukataliwa. naamini umenielewa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hivi lizzy, beby wako wapi jamani? Au id zao zilishtukiwa na washkaji zao wakaamua kuzibadili? I miss zem
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  'You may never know about women', kaka Boss leo ndo nimejua maana ya hii kauli yako ulowahi kuitoa huko nyuma. Dada mpelekee jamaa 'mbumla' ya bure akajimegee. Yaani umkatae mtu mwanzo halafu sasa hivi unajipeleka mwenyewe! Kaa ukijua jambo moja hapo kutoka kwa hiyo njemba. Kwamba huyu aliye naye sasa atapogundua kuwa 'jamaa yuko na wewe' atapomuuliza hiyo njemba itamwambia pia huyo aliyenaye sasa angoje amalizane na wewe. Kwa maana nyingine atakuwa anawamega wote wawili kila mtu kwa muda na nafasi yake.........chezea wanaume wewe!

  Simba huwa anafurahi sana anapoona nyati amenasa kwenye tope kwani anaweza akaenda na kuanza kumla pua zake huku nyati asiwe na la kufanya!

  Kwanini urudie kula matapishi yako madam?

  Yangu ni hayo tu!
   
 20. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  You see,that is what i was waiting for,am a big fan of yours,gfsonwin and i will give you a shout when am troubled,mungu akubariki sana
   
Loading...