Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.
Tatizo langu la mapenzi,poleni kwa usumbufu ila niko katika wakati Mgumu.
Kuna Dada jirani alitokea kunipenda akatengeneza urafiki na Mimi, akawa anakuja kuangalia mpira kwangu wakati mwingine akawa anakaa tunapiga story mpaka tano usiku, tukawa tunachati mpaka saa saba saa nane, dada yangu jirani akaniambia demu ananipenda hawezi kuja anakaa mpaka usiku,demu jiran akanizoea sana sana akirudi job hazipiti siku tatu bila kuja home sometimes mchana tukichat au hata usiku akawa ananiuliza niko na nani nafanya Nini? Au nimekula Nini?
Maswali yakawa yananistua,anamtoto mmoja alishaachana na Baba watoto wake,ule ukaribu wangu na Dada jiran,ukawa unamuumiza jirani wa nyumba ambayo demu alienizoea ukawa unamuumiza kumbe,akaja akaniambia mwanamke Malaya anatoka na mtu fulani akaongea maneno Mengi sana akaniambia ukitaka kufanya nae tumia Kinga.
Niliishiwa nguvu nikajiuliza huyu mwanamke kwa Nini? Aje aniambie maneno yote haya,isitoshe akaenda kwa dada jiran nae akamwambia alikuja kunichamba kuhusu mazoea na yule Dada,dada jiran akaniambia nae huyo alikuja anakupenda sana nikamwambia mbona mke wa mtu kwa Nini? Asitulie na Mume wake?
Muda ukafika nikafunguka kwa Dada kuwa nampenda akanizungusha kidogo akakubali Sasa akawa mgumu kupokea vitu vyangu vizawadi vidogodogo kama matunda hivi ,kutoa uchi ikawa shida ila kama nikipotea machoni mwake masaa 6 au kama sijamtext ataniuliza wapi nilipo Au kwa Nini? Namchunia.
Nilivyokuja kuchunguza mshkaji nilioambiwa anatoka nae kumbe hakuwah kutoka nae na ukaribu kitambo ulikatika,nikampotezea demu baada ya kuona ananiringia demu akanipigia simu niko kimya kwa Nini? Nikamchana kuwa anajiskia,akasema akirudi home jioni atakuja nikamwandalia Heinken 5 akaja jioni tukapiga story sana mpaka saa sita
Mshkaji akasepa kwao,ilivyofika saa akawa anataka kwenda kwao nikamzuia akatulia tukaa mpaka saa nane ndio tukaenda kulala hakupenda kuvua nikatumia nguvu nyingi kumbaka tu,mapema alfajiri akaondoka kwake akajiandaa kwenda kazini,akaja siku nyingine nikambaka kwa kazi tena, akaja siku nyingine akatoa bila kipingamizi ila shughuli kupokea vitu vyangu akiwa na shida najitahidi kusolve ila kuna siku kabla hatujafanya alisema hajala mchana nikamtumia pesa kwenye mtandao tofauti na number yangu akanipigia kuniuliza kama nimemtumia pesa.
Mapenzi ya kawa moto akiwa na hamu ananitafuta usiku wa saa nne tano au sita anakuja home namkuna, nikamlipia pango nikamnunulia smartphone ,pesa ananiomba kama salary imechelewa kutoka nikajitahidi sana kucare na hata mwenyewe anakir hajawah kukutana na mwanaume anaejua kucare kama Mimi.
Shida ikaja baada ya kupunguza ukaribu wa kuja kwangu,hapo mgogoro ukaanza , akawa anasema kazin mara hili mara lile aaah mara nataka kummili kama nimemuoa,akaniambia kama nataka nimuone kila siku nimuoe nikasema fine niko teyar akapotezea,nikamkumbusha tena akasema hayuko teyari kwa Sasa.Ila yeye anasema anaupendo kwangu ila Mimi nampenda kupita Kiasi na ninamuwazia vibaya.
Kuna siku nilimtuhumu kuchomoka kwake da aliwaka akamleta Mama yake kutoa ushahidi kuwa hakutoka,kikubwa mgumu kutoa uchi eti anipe kabla ya period na baada ya period kitu ambacho sikubaliani nacho.
Kuna siku nikamwambia kama amepata mwingine aniambie tu yaishe anasema hana mtu zaidi Kiukweli nimedhoofu sana kula kwangu ni mtihani sana Nashindwa kula.
Nimemuomba tuachane hataki amasema Mimi sio muelewa anachoka na kazi ila weekend yupo tu namuona ila kuja kukaa tukapiga story haji .Jana kasema kama nimeamua kumuacha poa hana pingamizi ila ananipenda na hata acha kunipenda.
Dada nampenda sana ila naumwa kula sili namuwaza hata kulala silali,kunakimpindi nilimtuhumu kama kaniendea kwa mganga akaniambia asiende kuwaroga wabunge aje aniroge Mimi?
Sio mpenda pesa wala Sio mpenda stareh ila ni mzur akaunti ya fb yake ninayo naingia inbox Watu kibao wana muapproach anawapotezea.
Nimeshindwa kabisa kumuelewa huyu Mdada.