miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
sawa kabisaUshauri mgumu wenye faida nimebaki kuchukiwa Mamake na mwanae kumbe Mama alikua anajua kila kitu
sawa kabisaUshauri mgumu wenye faida nimebaki kuchukiwa Mamake na mwanae kumbe Mama alikua anajua kila kitu
Wanawake ndo zao, mpotezee malaya tu huyo, she will regret somedays, u jaz chil Focus na mambo yakonyumba ya familia Mimi ndio naishi Sio kama sijiwezi,ukisoma vizuri utaelewa ninavyomhudumia
nahisi alivyochange kuja kwangu wakati yeye mwenyew alinitengenezea mazingira niwe mpenzi wake ingawa mwenyewe anakanusha kabisa
Unaitwa nani,nitakupataje?nimekupenda gaflaStory ndeeefu inachoosha ungeipunguza bana. Inaonekana huyo mdada ni mwanamke wako wa kwanza,unabaka tu kisa umemnunulia pombe aiseee!??
Halafu ni uswahilini sana huko kukaa mpaka saa sita nane usiku na mnasindikizana kurudi home!!??
Unaitwa nani,nitakupataje?nimekupenda gafla
Shukran mkuu niliumia sana sasa freshh sasa hana raha anaishi kwa kujifichaficha hana furahatena kama MwanzoWanawake ndo zao, mpotezee malaya tu huyo, she will regret somedays, u jaz chil Focus na mambo yako
Ungemuuliza kakupendaje?Mweee siuzi papa.
Mbona nyote mmnaonekana mpo kwenye balehe tulia kwanza mkuuuu blablaaa za mapenz zitakupa preshaaa be a man and not a boyNi vingi sn ..........umenifnyia ambavyo kW mwanaume w kizaxi hiki n vigumu sn kumfnyanyia mwanamke au msichan n v2 vng umeninunulia ambayo tng niwe kwny mahusiano sijawai kununulia wal kujaliw km ulivyokuw unanijali ww sina ht kushukru kwn bado naona asante ! Haijitoshelezi bt mungu ndie atakae kulipa kw fadhila zote ulizonifnyia utabarikiw mara mia
Kuishi bila mpenzi sishindwi kwsbb nilipokubali kuw n ww sikuw n mtu n kuwa mwenyew naweza coz usizani kuw ulivyoamua kuachan n mm ndo nitakuwa n mtu au nina mtu sijui ninae mpenda sijui no kupotez mud n mtu kwss sina kheri niwe mwenyew km ilivyoandikwa n kufalijiw n my family
Bdo Nina safari ndefu sn nina familia inayonitegemea ck zote kimaish bdo sijafikia pale napopatak sikupend kuja kuishi n mtu then ionekane namtegemea yy ndo maan ishu y ndoa ckutak kuiongelea mapema vle
Km ndo maamuzi uliyoamua kuyatoa n umefikilia n umeona Leo utoe uamuzi huo sawa sina kipingamizi n uamuzi wako n najua maybe mapenzi yng kwako hayajitoshelezi siwezi kukuzuia kuwa n mtu ambae ww ndo umemuona anafaa Mimi sikutoshelezi kW njia yyte coz nimekuw MTU w kukupa matatizo tu n ww kulalamika wkt unahitaji furaha n furaha yko ww ndo unajua ilipo
Bt Mimi kuacha kukupenda sitaacha nitakupenda kW namna yyte ile japo mahusiano umeamua kuyasitisha n kuona yte Yale yalikuwa km mapito kW jambo llte lile ukiitaki iwe ushauri jambo llte lile mlango upo wazi karibu
Uwe n amani kabisa anaekupenda akupende zaidi yko unavyompenda kwn Mimi nilionekana sina upendo huo nisamehe kW hlo my dia
hizo ni baadhi ya sms zake
Hii kitu ilikua february to marchMbona nyote mmnaonekana mpo kwenye balehe tulia kwanza mkuuuu blablaaa za mapenz zitakupa preshaaa be a man and not a boy
Ila nilikua nina hakiKwa hizi story zako ni kweli wewe ni mlalamishi
Getini wapi wewe? ? Sema ukisimama upenuni..Pombe nilimnunulia mara moja tu,nyumbazetu ni jirani akiingia au Mimi nikisimama getini kwangu namuona kibarazani kwao