Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,220
- Thread starter
- #21
Ni vingi sn ..........umenifnyia ambavyo kW mwanaume w kizaxi hiki n vigumu sn kumfnyanyia mwanamke au msichan n v2 vng umeninunulia ambayo tng niwe kwny mahusiano sijawai kununulia wal kujaliw km ulivyokuw unanijali ww sina ht kushukru kwn bado naona asante ! Haijitoshelezi bt mungu ndie atakae kulipa kw fadhila zote ulizonifnyia utabarikiw mara mia
Kuishi bila mpenzi sishindwi kwsbb nilipokubali kuw n ww sikuw n mtu n kuwa mwenyew naweza coz usizani kuw ulivyoamua kuachan n mm ndo nitakuwa n mtu au nina mtu sijui ninae mpenda sijui no kupotez mud n mtu kwss sina kheri niwe mwenyew km ilivyoandikwa n kufalijiw n my family
Bdo Nina safari ndefu sn nina familia inayonitegemea ck zote kimaish bdo sijafikia pale napopatak sikupend kuja kuishi n mtu then ionekane namtegemea yy ndo maan ishu y ndoa ckutak kuiongelea mapema vle
Km ndo maamuzi uliyoamua kuyatoa n umefikilia n umeona Leo utoe uamuzi huo sawa sina kipingamizi n uamuzi wako n najua maybe mapenzi yng kwako hayajitoshelezi siwezi kukuzuia kuwa n mtu ambae ww ndo umemuona anafaa Mimi sikutoshelezi kW njia yyte coz nimekuw MTU w kukupa matatizo tu n ww kulalamika wkt unahitaji furaha n furaha yko ww ndo unajua ilipo
Bt Mimi kuacha kukupenda sitaacha nitakupenda kW namna yyte ile japo mahusiano umeamua kuyasitisha n kuona yte Yale yalikuwa km mapito kW jambo llte lile ukiitaki iwe ushauri jambo llte lile mlango upo wazi karibu
Uwe n amani kabisa anaekupenda akupende zaidi yko unavyompenda kwn Mimi nilionekana sina upendo huo nisamehe kW hlo my dia
hizo ni baadhi ya sms zake