Sisy Naledwa kuwa Msafi(kimwenendo na Kimwili) hakuna Atayeona Mapungufu ya Mwili...View attachment 521673
Jazzy is one of the luckiest women on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.
"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..
View attachment 521816
Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!
The guy is HAWT! tho..
View attachment 521679
Bonny kwa ujasiri huu unaonekana una hivyo viji miraba kama mume ya Jazzy hapo juu huh!, hongera 🙂
Jirani si uende na wifi?Kuna mwenye superdol zake tukapige picha na swimming suits
Ajikute tu!! Ana mtambi wake anajiburuza nalo tangu utotoni.[emoji85] [emoji85] [emoji85]Bonny kwa ujasiri huu unaonekana una hivyo viji miraba kama mume ya Jazzy hapo juu huh!, hongera 🙂
Asante mama vp superdol zipo??
Wifi zako wote slim fitJirani si uende na wifi?
Ungekua humjui mungu wallah ungekua mganga wa kienyej wallah sio kwa fitna hzoAjikute tu!! Ana mtambi wake anajiburuza nalo tangu utotoni.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ungekua humjui mungu wallah ungekua mganga wa kienyej wallah sio kwa fitna hzoAjikute tu!! Ana mtambi wake anajiburuza nalo tangu utotoni.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kuna yule mnashindana miili lazima atafaa sana.Wifi zako wote slim fit
Jirani kwani uongo?Ungekua humjui mungu wallah ungekua mganga wa kienyej wallah sio kwa fitna hzo
Unanielewaje jirani?Huyo muache kama alivyo namuelewa vzur sana
[emoji23] [emoji23] [emoji125]Mumu! [emoji2]
Unawala wao sio mm na wa type zangu[emoji14] [emoji14]mama hujui jinsi navo shobokewags
na ninawala kweli
Yule mwenye kilo 45Kuna yule mnashindana miili lazima atafaa sana.
Jiran mbona hvyo lakin enheeJirani kwani uongo?
Ha ha ha hvyo hvyo tuUnanielewaje jirani?
Hivi dada ukoje hebu tuna kapicha nifanye utafiti Wa kamati ya mchangaUnawala wao sio mm na wa type zangu[emoji14] [emoji14]