Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

Ilipaswa uwe tayari umeshambuluza mahakamani lkn pia muda haujapotea bado upepo wa heri upo kwako mpeleke.

Nakubaliana na wewe kwenye misingi ya hoja yako lkn sikuungi mkono kwenye kutafuta uungwaji mkono na watu wengine.

Unamkumbuka mchungaji mtikila? Alikuwa aombi uungwaji mkono na mtu alikuwa anampeleka yoyote mahakamani ata serikali kashishitaki sana na akashinda kesi. Iga mfano wake achana nakutafuta kuungwa mkono watakukatisha tamaa hawa.

Lkn kwa yote wazo lako ni zuri naunga mkono hoja mpeleke mahakamani
 
Back
Top Bottom