Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,116
- 34,072
Inazuiaje Mkuu? Yaani kwa mechanism ipi?View attachment 1851243
Hii ndyo minyaa yenyewe mkuu, pia inapandwa majumbani kuzuia radi isilete madhara.
Msaada tafadhali.
Inazuiaje Mkuu? Yaani kwa mechanism ipi?View attachment 1851243
Hii ndyo minyaa yenyewe mkuu, pia inapandwa majumbani kuzuia radi isilete madhara.
cariha interesting Sana... Ukamwambia tulia wewe..Dah Mimi sipendi hyo hali naona ndio na hushindwa kunifanya kitu shida nikuanza kukuchukia bila sababu na kueneza sumu kwa watu za uongo, na wengi hufikiria nimechanjwa kumbe ndio nilivo zaliwa tangu utoto na sijawahi chanjwa, watu huniambia macho yako hayo sio mazuri kuona loh
Njoo pmNataka nipate dawa ya kuwazuia wasiingie ndani kwangu tu , mengine ni shida tupu. Utashangaa kumuona rafiki yako mkubwa na vita za kiroho zitaanza, "utaweza"?
Siku nikienda Bariadi nitaijaribu hii. Litakalonipata lawama zote kwakoSi kisamvu tu hata ukikaaa chini ya mti wa muhogo, hakikisha kuwe na umande, niliwahi kujaribu ila kadri masaa yanavyosogea hofu inaongezeka ( hapo sjaanza kuona mauza uza)....Wenge likanifanya nikimbie..Sijajaribu tena.