Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Huwezi kuwaona wachawi bila kutumia nguvu za giza. Kama hujawahi kwenda kwa mganga, basi ukiwa mdogo ulichanjwa na dawa za kujikinga na uchawi mbaya zinazokupelekea kuwaona wachawi.....
 
Huwezi kuwaona wachawi bila kutumia nguvu za giza. Kama hujawahi kwenda kwa mganga, basi ukiwa mdogo ulichanjwa na dawa za kujikinga na uchawi mbaya zinazokupelekea kuwaona wachawi.....
Hata ukichanjwa nibunajitafutia majanga makubwa sana.. Ukiwekewa dawa ya kuwaona wachawi ni kujichimbia kaburi
 
Juzi walikuja kama wanne kwangu wakashindwa kuingia nyumbani. Halafu wakiwa wanakuongelesha wanakua kama wananong'ona hivi
 
Napenda Sana NINGEKUWA Kama wewe ningeomba neema kwa Mungu anizidishie nguvu Mara Mia niwatese kwa nguvu za Kimungu. cariha
Dah Mimi sipendi hyo hali naona ndio na hushindwa kunifanya kitu shida nikuanza kukuchukia bila sababu na kueneza sumu kwa watu za uongo, na wengi hufikiria nimechanjwa kumbe ndio nilivo zaliwa tangu utoto na sijawahi chanjwa, watu huniambia macho yako hayo sio mazuri kuona loh
 
wewe umewahi kujaribu?
 
Masharti na vigezo kuzingatiwa...
 
Kuna kipindi nilikuwa naona wachawi eeh bana siku hyo kariakoo si nikawa naona vitu vya ajabu nikishtuka vinapotea, aisee kumbe kariakoo ule wingi wa watu Kuna viumbe vya ajabu sana kule.
we mwanamke kiboko umeokoka nini?
 
Kuna jamaa ananiambiaga nikitaka kuona wachawi muda wowote nimwambie ananipaka dawa usoni sema huwa napuuza kwa sababu mtu mwenyewe haoni.
 
''ponda kisamvu mpaka kiive vizuri''! hapa mbona mi sijaelewa, nikiponde na nikipike au?!!!! nazungumzia hiyo namba 1 ya maandalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…