Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

Hata walio okoka wanateleza na kutenda dhambi ndio maana kuna msalaba na kuomba toba kila siku.

Warumi 3:23-25

Jambo la pili tukifuata biblia hayo uliyo yasema ni mambo mazuri kufanywa lakini mtu hawezi kuokolewa kwa matendo peke yake (mfano unasema mimi nina vituo vya watoto yatima vingi so hiyo ndo price yangu ya kununua wokovu)

Kulea yatima na kusaidia watu ni jambo zuri lakini wokovu tunaupata kwa neema na kujinyenyekeza katika Jina lipitalo majina yote

Wewe utakua muhubiri mzuri sana
 
Wanafunzi wa Yesu walielekezwa kuwafanya watu kuwa wafuasi Kwa kuwafundisha na kuwabatiza katika jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Tatizo wengi wetu hatupendi kujifunza na kuwa wafuasi. Hatutaki kujifunza zaidi ya tuliyokaririshwa...
 
Back
Top Bottom