Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Kumbuka kura zenu hazijawahi kuzidi milioni 2 toka mfanye kampeniZimeongezeka maana wiki iliyopita mliimba wimbo wa Lissu kupata kura 200k.
Kumbuka kura zenu hazijawahi kuzidi milioni 2 toka mfanye kampeniZimeongezeka maana wiki iliyopita mliimba wimbo wa Lissu kupata kura 200k.
Machafiko ya nini?Nchi hii ina watu 59m+, ukigawa hapo 29m+ ni nusu yake, kama sio tume imepika idadi ya wapiga kura, toka lini idadi ya watu wenye miaka 18+ iwe sawa na walioko chini ya miaka hiyo? Hapo ni wazi tume ya uchaguzi imejiandaa kupika matokeo ya kura, kwa maneno marahisi tume ya uchaguzi itakuwa ndio sababu ya nchi hii kuingia kwenye machafuko.
Ndio maana yake, wale walimfuata Lowasa na sio chadema,Sawa, sasa maoni yako ni kwamba nusu kura zile mil 6 zote zinarudi CCM?
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Lowassa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.
Mkuu naona ndo unamaliziamalizia zamu yako we na kamanda asiyechoka.kuanzia kesho tutakuwa na bia yetu,yehodaya bila kumsahau Jane lowassa,Barbarossa.October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Huyu kamwza cassette, anarudia rudia maneno hayo hayo, hajibu point hata moja.Mkuu naona ndo unamaliziamalizia zamu yako we na kamanda asiyechoka.kuanzia kesho tutakuwa na bia yetu,yehodaya bila kumsahau Jane lowassa,Barbarossa.
NIYEYE TAL2020.
Ndio binadamu hatuwezi kuwa na mawazo na fikra sawa. Kikubwa kusameheana.Naomba sana kuwa modereta wa JF; nikifanikiwa kupata cheo hicho, kuna watu nitawapiga ban mpaka mwisho wa dunia!
Itakuwa wameamua kumfuata TL maana Katibu wako Polepole alikuwa analalamikia nyomi la TL.Ndio maana yake, wale walimfuata Lowasa na sio chadema,
Inawezekana tusiwe 59+m kwa sababu sensa inasema tofauti. Tunaweza kuwa kwenye 50m hivi.Nchi hii ina watu 59m+, ukigawa hapo 29m+ ni nusu yake, kama sio tume imepika idadi ya wapiga kura, toka lini idadi ya watu wenye miaka 18+ iwe sawa na walioko chini ya miaka hiyo? Hapo ni wazi tume ya uchaguzi imejiandaa kupika matokeo ya kura, kwa maneno marahisi tume ya uchaguzi itakuwa ndio sababu ya nchi hii kuingia kwenye machafuko.
Msikilize Pole Pole hapo juu, CCM wamewafunda wanachama wao na uhakika wa kura ulivyokaa leo hii akiongea na waandishi.
Safari hii tunahitaji Rais msikivu, anayekubali kushaurika.Mkuu nusu ya waliompigia JPM 2015 hawamtaki tena. JPM ana nyodo na maneno ya shombo. Sikiliza hapa.
View attachment 1603415
Ndio Ruge alituambia tuogope Mungu na technology.Hakuna kiongozi muongo kama huyu , naambatanisha ushahidi
View attachment 1603512
Inawezekana tusiwe 59+m kwa sababu sensa inasema tofauti. Tunaweza kuwa kwenye 50m hivi.
Tunakuwa kwa wastan wa Mil 1 kwa mwaka, Sensa ya 2012 tulikuwa mil 44.
View attachment 1603507
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Attachment hiyo nimeweka tulikuwa 44.9m 2012 according to them.Sensa ya 2012 tulikuwa 52m+, kwa wastani wa 1m@year ni sawa hiyo 59m+. Kama unasema tunaweza kuwa 50m+, inawezekana vipi wapiga kura wawe 29m+? Hiyo maana yake watu wenye miaka 18 na kuendelea ni wengi kuliko watoto? Mkuu pitia unachoongea kwanza.
Attachment hiyo nimeweka tulikuwa 44.9m 2012 according to them.
Wamesema kila kituo kitakuwa na wapiga kura 500 kama sijakosea ili kupunguza msongamano.
Sasa ukichukua mil 29 waliojiandikisha ÷ kwa namba ya watu 500 = Vituo 58,000.
Vituo 58,000 kuvifikia na mvua hizi za vuli ni changamoto.
Angalia hiyo blue bar ya mwishoMkuu samahani, hamna attachment unayosema ya idadi ya watu ya 2012. Ila kwenye vituo vya wapiga kura wanasema vipo 88,000+ kama sijakosea. Wanasema kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500.