GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,116
- 2,248
habari ya kazi wadau.
samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word files zikawa hazifunguki pamoja na excel files. sasa kuna documents za muhimu kwa excel. je naweza kurecover? ni njia gani nitumie. file zote zinaonesha hazina kitu. mfano file la excel linaonesha lina 0kb. nikifungua napewa huu ujumbe (screenshort)