Namna ya kupakata kitoweo kisikuchafue

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
470
Points
225

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
470 225
hii Tabia ya kinadada kuacha kifua wazi naona imepamba moto sasa!
Kweli kabisa Mchaka Mchaka.Yaani kuna wadada wengine wanayabana hayo "maziwa'' muundo wa kutaka kumwagika vile hapo kifuani.Pia kuna hivi vitopu wanvyovaa ambavyo sijui ndio kwa makusudi hayo au vipi?Yaani karibia "maziwa" yote yanaonekana na akiinama tu yanamwagika.Ilishatokea pale SAUT siku moja ambapo mdada mmoja alibana "maziwa" yake na alikuwa cafeteria akichukua msosi.Alipoinama tu kwenye kuchukua kijiko mara yakamwagika yote mawili bwi! bwi! Yaani ilikuwa kucheka kwa sana na aibu sana.Kwa hiyo wale wadada angalieni sana hili jambo msije mkaaibike.
 

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
18,135
Points
2,000

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
18,135 2,000
Mimi huchukia sana kusimama kwenye dala2, lakini kwa wadau wengine, safari ndefu kwao huwa fupi.. LOL!!
mkuu umenikumbush asiku moja natoka post akuja mbezi sasa daladala za mezi kivukoni nadhan wazijua vyema majira ya saa 11. sasa bana katika watu walosimama kulikuwa na mama moja ambaye alaikuwa mashallah...... round about mmmh! sasa mzee mmoja akakaa nyuma yake konda anapanga watu shika bomba geuka kulia mwingine geuka kushoto njemba hili likakaidi likaelekeza uso kushoto alipo bidada. sasa hapo akakutanisha kikojoleo chake na round about ya mdada. kila gari linavyosogea mkaka anakazana kaushika kwa nguvu huku jasho linamtiririka kama maji lol! mama mmoja alikuwa anaona ile muvu akawambia bi dada hebu sogea kidogo yule mama akasogea njemba bado likabanana pale pale. duh kuja kuhamaki jamaa kesha lowesha suruali yake na sketi ya mama lol! kilichofuata ni kuingia polis manzese kwanza manake ilikuwa patashika ...............uwiiiiiiiiiii daladala kiboko.
 

Forum statistics

Threads 1,392,812
Members 528,696
Posts 34,118,688
Top