Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
force of gravity imeshashika kasi hapo...!
mkuu umenikumbush asiku moja natoka post akuja mbezi sasa daladala za mezi kivukoni nadhan wazijua vyema majira ya saa 11. sasa bana katika watu walosimama kulikuwa na mama moja ambaye alaikuwa mashallah...... round about mmmh! sasa mzee mmoja akakaa nyuma yake konda anapanga watu shika bomba geuka kulia mwingine geuka kushoto njemba hili likakaidi likaelekeza uso kushoto alipo bidada. sasa hapo akakutanisha kikojoleo chake na round about ya mdada. kila gari linavyosogea mkaka anakazana kaushika kwa nguvu huku jasho linamtiririka kama maji lol! mama mmoja alikuwa anaona ile muvu akawambia bi dada hebu sogea kidogo yule mama akasogea njemba bado likabanana pale pale. duh kuja kuhamaki jamaa kesha lowesha suruali yake na sketi ya mama lol! kilichofuata ni kuingia polis manzese kwanza manake ilikuwa patashika ...............uwiiiiiiiiiii daladala kiboko.
Huyu dada kama haelekei kwa 'mganga' huyu....sijui!
Hukawii kukuta anaenda kanisani, siku hizi wachungaji nao wanaitisha majogoo dr. Bado nyie tu.