na kila anayekufa anaona hafi, mpaka anakufa na kukosa muda wa kujiuliza why
Chadema si imara tena ipo kwenye pumzi za mwisho kuelekea huko viliko hivyo vyama vingine!Huo ni mtazamo wako. Na hivyo vyama NCCR, TLP na CUF havijafa. Vinaonekana dhaifu sababu ya uimara wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Na ndio maana mashambulizi mengi yanaelekezwa CHADEMA kuliko sehemu nyingine. Hutosikia mwenyekiti wa TLP anashambuliwa, wala wa NCCR ndio maana kila siku ni CHADEMA hivi, CHADEMA vile. Mara CHADEMA kahujumu elimu, mara sijui wanajifunza ujasusi Libya. Hii yote ni kudhoofisha nguvu aliyonayo CHADEMA katika siasa za Tanzania.
Wewe kama unaishi kwa historia, endelea tuu kuishi hivyo.
Haifi kwa maana ya kupotea ila itadhoofu kama hivyo vingine hata kipindi cha uchaguzi huwa na kura ya mwenyekiti tu!Hebu tuseme kama utakavyo imekufa sasa! Tuitishe uchaguzi WA Haki maana imeshakufa na mapolisi na majeshi watulie makambini kwao na tuweke time huru maana CHADEMA Ni marwhemu harafu tuone outcomes kama je marehemu CHADEMA hatawashinda then tuuamini unajimu Wako!
Siku uchaguzi ukiwa huru Hamna CCM nakuhakikishia sasa hapo marehemu WA Kweli Ni nani?
Ndio maana nikasema endelea tuu kuamini hivyo. Dunia ya sasa imebadilikaChadema si imara tena ipo kwenye pumzi za mwisho kuelekea huko viliko hivyo vyama vingine!
Hujaelewa nimeandika nini? Tuseme imekufa sasa tujiamini sisi CCM Tuitishe free and fair elections!! Tutaona je Ni CCM au CHADEMA aliyejifia!Haifi kwa maana ya kupotea ila itadhoofu kama hivyo vingine hata kipindi cha uchaguzi huwa na kura ya mwenyekiti tu!
Dunia imedilika kweli kwa mabadiliko ya technolojia na maghorofa!Ndio maana nikasema endelea tuu kuamini hivyo. Dunia ya sasa imebadilika
Kila mmoja na mtizamo wake tusubiri siku ifike!Hujaelewa nimeandika nini? Tuseme imekufa sasa tujiamini sisi CCM Tuitishe free and fair elections!! Tutaona je Ni CCM au CHADEMA aliyejifia!
Ukiacha mahaba mkulu anaizika CCM rasmi ILA Kwa mawank ya mbao anaiimarisha! Tunza hii posti hesabu siku utaniamini ninachoongea
Nimekupa like kwa sababu post yako imejaa ukweli mtupu. Japo umeituma kwa style ya kichekesho .Siku hizi Mbona mmekuwa Wapole sio Kama enzi Za Mkwere?
Mkwere angewaambia Marufuku Mikutano ya Kisiasa mngetii Kama mnavyomtii Mwenye heri John Magufuli?
Ulaya ya Kilosa au ya Nzega.wewe uko ulaya gani hiyo ambapo watu hawapo busy na kazi? ama unaishi kwa mjomba au shemeji tu, na kudanganya watu habari za ulaya? huna kazi eti?
Tubaki na imani hiyo!ikifa itazaliwa upya
Mie mwenyewe walishanikatisha TamaaChadema ishakufa tokea wamchukue fisadi
HakikaMie mwenyewe walishanikatisha Tamaa
Sky acha kejeli bhanaa 😊Upinzani utaendelea tu, Tanzania ni nchi ya vyama vingi na CHADEMA inazidi kuimarika. Peoples✌🏾
Kwa vitendo.Naomba ulete hapa tofauti ya NCCR ile ya akina Lamwai,Marando, Tundu Lissu, Antony Komu, Mrema, Mbatia na Chadema hii kitaasisi.
Mawazo yakoo tuuu mkuu uwee na fikraa chanya dhidi ya wenzakooo usiwe na hasiiiCHADEMA ndio bye bye hakuna dawa wala uganga inakufa kifo cha Nccr mageuzi,CUF hivi vyama viwili vilipita katika njia wanazopitia chadema kwa hivi sasa,
Nccr baada ya kutamba uchaguzi wa 95 kwa kumpokea kada mkuu wa CCM Lyatonga mrema baada ya hapo ikawa ni mtifuano na kufifisha chama machoni mwa watu mpaka leo hii Nccr haipo labda ukisikia mbatia ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Nccr mageuzi
Cuf ilipita njia hizi hizi za CHADEMA baada ya kutamba uchaguzi wa 2000 Cuf rasmi iliingia kwenye mitifuano isiyo kwisha mpaka kilizaliwa chama cha kingine kupitia aliyekuwa kada wao maarufu Hamadi Rashidi leo hii kama tunavyoisikia Cuf inapumulia mashine kuna ya zanzibar na ya bara
Historia inatuonyesha CHADEMA baada ya kumchukua kada wa Ccm maarufu Lowassa leo hii CHADEMA ipo kwenye minyukano ya chini kwa chini japo wenyewe wanajaribu kuifunika lakini kwa muonekano tu CHADEMA inayumba na imepoteza muelekeo watu kila kukicha wanaikimbia Chama na wameanza kutuhumiana tuhuma za usaliti wao kwa wao!
Swali kwanini kila kada mkuu wa CCM akihamia chama cha upinzani hukumbwa na dhoruba!