Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

Namna ya kuokoa CHADEMA isife...

CCM ni ushindi wa asilmia 100 tu.Kama enzi za Sadam.Na hatutak tume huru ya uchaguz
Ya nini huko kuna tume huru na bado mahakama zinatengua matokeo,huko america mpaka kura zilihesabiwa kwa mikono lakini mpinzani hakushinda sasa hapa kwetu ya nini nayo hii iliyopo ni huru!
 
CHADEMA ndio bye bye hakuna dawa wala uganga inakufa kifo cha Nccr mageuzi,CUF hivi vyama viwili vilipita katika njia wanazopitia chadema kwa hivi sasa,

Nccr baada ya kutamba uchaguzi wa 95 kwa kumpokea kada mkuu wa CCM Lyatonga mrema baada ya hapo ikawa ni mtifuano na kufifisha chama machoni mwa watu mpaka leo hii Nccr haipo labda ukisikia mbatia ndio unakumbuka kuna kitu kinaitwa Nccr mageuzi

Cuf ilipita njia hizi hizi za CHADEMA baada ya kutamba uchaguzi wa 2000 Cuf rasmi iliingia kwenye mitifuano isiyo kwisha mpaka kilizaliwa chama cha kingine kupitia aliyekuwa kada wao maarufu Hamadi Rashidi leo hii kama tunavyoisikia Cuf inapumulia mashine kuna ya zanzibar na ya bara

Historia inatuonyesha CHADEMA baada ya kumchukua kada wa Ccm maarufu Lowassa leo hii CHADEMA ipo kwenye minyukano ya chini kwa chini japo wenyewe wanajaribu kuifunika lakini kwa muonekano tu CHADEMA inayumba na imepoteza muelekeo watu kila kukicha wanaikimbia Chama na wameanza kutuhumiana tuhuma za usaliti wao kwa wao!
Swali kwanini kila kada mkuu wa CCM akihamia chama cha upinzani hukumbwa na dhoruba!
Unajitahidi!! Umetumwaa?
 
Ya nini huko kuna tume huru na bado mahakama zinatengua matokeo,huko america mpaka kura zilihesabiwa kwa mikono lakini mpinzani hakushinda sasa hapa kwetu ya nini nayo hii iliyopo ni huru!
Tunataka Tume yote iwe makada wenzetu.HII NCHI ni ya wana CCM tu.
 
Wana Ufipa ukiwaambia Chadema utakufa wanadhan tunamaanisha kufa Kama kifo Cha binadamu

Tunamaanisha kifakufa Kwa maana kitakuwa Kama NCCR Au CUF

Hata akiondolewa Kubenea ataibuka mwingine tu Halafu Mara nyingi wale watu wa karibu Na Mbowe anaewaamini Sana ndio huja kum challenge

Alianza Chacha Wangwe, akaja Zitto Kabwe, akaja Dr Slaa Na Sasa Mwandani Na maiti wa Mbowe Ndugu Kubenea Na Komu nao wamechoka

Hata Hawa kina YericKo nao watakuja kumzingua Na kumchoka Mbowe
Well said
Lichama lina waka moto, wanatimka, yanafukuzana, uwendawazimu mbele kwa mbele walahi
Chadrama kwishney walahi
 
Ingekuwa 'upinzani unakufa' sawa, kufa CHADEMA sio kwamba mkuu kapata relief, upinzani sio bendera, upinzani uko rohoni mwa watu, akiweza kuwahamisha watu wote kimawazo na wakahamia CCM kwa moyo safi bila kufuata maslahi basi hapo atakuwa ameweza, ila kwa sasa ni kama fungulia dog hata wasio na hisia na chama chake wanahamia wakiwa na agenda yao rohoni, heri adui unayemfahamu kuliko kuliko yule usiyemdhania! Naona chama kinajali uwingi kuliko ubora na nia thabiti ya ujio wa wageni
 
Umezungumza vyema sana mkuu hii hama hama si watu wapya haya ni yale makorokoro yaliyosombwa na mafuriko 2015 kwa kuwa watu hawakuangalia ubora waliangalia wingi ili mradi tu waingie ikulu wameona huko si kwao wameamua kurudi nyumbani!
 
Ni wafia tumbo, kama wachezaji wa mpira, leo ataibusu jezi ya Man U na baada ya mwaka akihamia Arsenal anaibusu jezi pia
 
Habari wakuu

Hapo jana nilipoyaona majina ya wabunge wa CHADEMA waliokuwa wamegomea vikao vya bunge kutolewa na spika akiwataka wakapimwe covid19 ndio waruhusiwe kurudi tena bungeni nilishtuka na kustaajabu kidogo kwa namba ya wabunge wa chama hiki kuwa kwa uchache kipindi hiki

itakumbukwa baada ya uchaguzi wa 2015 chadema kilikuwa na zaidi ya wabunge 60 ndani ya bunge la jamhuri lenye viti zaidi ya 390

hii namba kwa muda wa miaka minne tu imeporoka sio kushuka kwa kasi kasi kubwa
kwa chama kilicho na nia ya kushika dola ilitakiwa kiwe kinajiimarisha sasa kuelekea uchaguzi mkuu hapo October na sio kupukutishwa kwa kupungzwa namba ya wabunge wake

kwa muono wangu hili ni anguko kubwa lazima tukubali chadema kuna sehemu kinafeli na hii ni ishara kwamba chama hiki kinakufa taratibu kama si haraka
 
Back
Top Bottom