Namna ya Kula embe dodo lililoiva.

Namna ya Kula embe dodo lililoiva.

Siku ukiona unasonsomola na halisonsomeleki ujue sio embe dodo hilo. Ni embe ng'ong'o! Nyonya tu yaishe.
Sasa embe dodo limeiva vizuri unaambiwa ule na chumvi! Huyu kazoea vidaku!
Jamani yuu pipo? Siku mkishindwa kusonsomola maembe dodo yenu, msilaumu! Lol
 
Siku ukiona unasonsomola na halisonsomeleki ujue sio embe dodo hilo. Ni embe ng'ong'o! Nyonya tu yaishe.
Sasa embe dodo limeiva vizuri unaambiwa ule na chumvi! Huyu kazoea vidaku!

Chumvi inatiwa kwenye kokwa lake.
 
Embe dodo eeh! lol! shurti lilainishwe kwa ulimi tena unalilainisha taratibu wala hakuna sababu ya kukurupuka.

Last edited by a moderator:
linarambwaje sasandio hapo?
Toa ulimi wako taratibu. Ufanye uwe mwembamba, pitisha kwenye kiini chake huku ukizungusha ulimi kama unaandika namba nane, fumba macho kwa mda wa dakika tatu huku ukiramba kokwa. Fumbua macho kwa sekunde kadhaa then fumba macho tena. Utakapo una kuwa kokwa imeanza kutoa maji endelea kama dakika kadhaa then anza kula embe zima uliloliweka kwenye sahani safi.
 
Kaizer ​nimekulaiki back
 
ohoooo.....leo jumangai nikatafute maembe dodo mie!
 
Lol!
Ni feki la std 7 lilikuwa lenyewe. Ana uhakika wa kwenda tabora boys.

My Tabora Boys bana, ukifika lazima ufaulu kutokana na jina na majigambo ya ukweli kua sisi tuliochaguliwa Tabora Boys ndio vichwa (THINK TANKERS) wa Tanzania. 2007 Form 6 Graduate pale PCB. NINA MAHABA YA KWELI NA HII XUL......!
 
Duh ! Wewe kweli Mzalendo Junior...hukukosea kabisa jina....hahahah....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom