Namna ya Kula embe dodo lililoiva.

Siku ukiona unasonsomola na halisonsomeleki ujue sio embe dodo hilo. Ni embe ng'ong'o! Nyonya tu yaishe.
Sasa embe dodo limeiva vizuri unaambiwa ule na chumvi! Huyu kazoea vidaku!

Dada yangu una vituko sana wewe!!
 
mhhh hii yako ndo naisikia!!! Hebu nipe ujuzi wa kula kokwa kwa chumvi...pengine ni kitu kipya hiki atu....
lols

Ha fuatilia hapo juu wenzio nimewaeleza hapo juu na wamejua hebu check hapo juu. na kabla ya kucheck jua hivi kokwa hailiwi ina rambwa!
 
Toa ulimi wako taratibu. Ufanye uwe mwembamba, pitisha kwenye kiini chake huku ukizungusha ulimi kama unaandika namba nane, fumba macho kwa mda wa dakika tatu huku ukiramba kokwa. Fumbua macho kwa sekunde kadhaa then fumba macho tena. Utakapo una kuwa kokwa imeanza kutoa maji endelea kama dakika kadhaa then anza kula embe zima uliloliweka kwenye sahani safi.
Eeeh hadi nimeishiwa nguvu, Eee Jehova watazame vijana hawa.
 
Linaloongelewa ni EMBEDODO DODO au EMBEDODO NANIHINO nimeshindwa kuchangia,nasubiri ili nitoe mchango wangu maana dodo tamu hasa likiwa la mdondo
 
Embe dodo haliliwi gizani linaliwa kwenye mwanga hafifu.

Aisee Annael una embe dodo mpendwa? nimepata hamu ya gafla. hata la kununua tu kama la kupewa bure itakuwa ngumu

natanguliza shukrani..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom