Namna ya kufungua holding Company

Namna ya kufungua holding Company

bigdreams

New Member
Joined
Jul 22, 2025
Posts
1
Reaction score
3
Habari zenu Wakuu,

Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano.

Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata ili niweze kufanikisha kufungua kampuni .

Industry nilizo kuwa nimezilenga ni
1. Real estate
2. Waste managment
3. ICT supplies
4. Agriculutural business
5. Logistics service

Natanguliza shukrani.
 
Karibu tupige kazi
 
Attachments

  • Screenshot_20250722-170300.png
    Screenshot_20250722-170300.png
    178.3 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250722-170300.png
    Screenshot_20250722-170300.png
    178.3 KB · Views: 25
Habari zenu Wakuu,

Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano.

Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata ili niweze kufanikisha kufungua kampuni .

Industry nilizo kuwa nimezilenga ni
1. Real estate
2. Waste managment
3. ICT supplies
4. Agriculutural business
5. Logistics service

Natanguliza shukrani.
Karibu.
 
Back
Top Bottom