Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

Sometimes ni ushujaa kuwacholea ramani wenzio ili hii nchi iendelee tunahitaji watu wa kujitoa muhanga kama wewe mkuu,
Tusiwe kama watanzania wenzetu walioko marekani na ulaya wasio oenda wengine waende wakati watu wanatika nchi za wengine untafuta pesa wao bado wa naona nisifa kuwa kwenye nchi za watu kwa kupiga picha kwenye migahawa na kupost kwenye mitandao.
 
Unanifanya chambo sio??
Panda taqwa kutoka dar mpaka lusaka halafu hapo utapanda basi mpaka kazingula border. Pale unavuka kwa kivuko then utapanda basi mpaka Francis town ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Botswana. Hapo utapata gari za kwenda Gaborone. Gharama zote fanya kama laki 3 hivi.
kwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu
njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi mwenyeji Wako Ni nani na house no ikikosea hauvuki
passport, card ya yellow fever
usitembee na dollar hazitumiki
 
Panda mabasi yanayokwenda Tunduma,pale utachukua
mabasi ya Lusaka-Zambia.Lusaka utachukua mabasi yanayoelekea Kazungura boarder.Pale utavuka kwa kivuko kuelekea upande was Botswana,kisha utachukua usafiri wa kukufikisha Gaborone(sina uhakika kama Siku hizi kuna mabasi Lusaka -Gaborone).Luna kipindi mabasi hayo hayakuwepo
Si apande tu ndege
 
Sio hivyo Mkuu Kwa kuwa umeamua kutangulia.na m pia kumbuka najikusanya kusanya na kufatilia vitu vidogo vidogo vitavyoniwezesha kuamsha popo kihalali ndio maana nimesema hivyo
Ok mkuu nadhan kikubwa ni kuwasiliana
 
Humu watu wengi waliaga ...tukawaombea baraka...ila wakifika huko hatuoni mrejesho ...pls jitoseni kutuambia kinaga ubaga hatima za safari za huko mbali na nyumbani
 
kwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu
njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi mwenyeji Wako Ni nani na house no ikikosea hauvuki
passport, card ya yellow fever
usitembee na dollar hazitumiki
Mkuu kwa hiyo ili niingie kihalali bila usumbufu inabidi niandae vitu gani hasa mkuu
 
Mkuu ukifika nahitaji unipm kwan inawezekana nami nikatimka tz mida siyo ming nahitaj kubadili upepo .ila ninavutiwa Sana na Rwanda kwenda kufanya kazi huko badae niingie kwenye mambo ya biashara lakin sijaridhika bado nahitaj kuijua bostwan a then nipige hesabu zangu
Jf photos imewaharibu akili. Yaani mabinti wa kitutsi ndo wanakufanya utake kwenda kuzurura rwanda! Mbona watutsi wapo Burundi mkuu. Halafu Tanzania kuna watoto wakali kuzidi hao. Wewe kama unataka kwenda kuzurura nenda tu maana huko wana maisha magumu, ajira hakuna, chakula ni shida ndo maana unaona wanakimbilia Tanzania.
 
Mkuu jina unalotumia kweli unaendana nalo..ebu niambie Wa america wanatoka USA kuja kuwekeza huku tz INA maana kwao n kugumu sana..Mkuu tusivunjane moyo sio mabinti wanaonishawish MIM kwenda huko ningetaka hayo ningekimbilia Brazil au venezuela
 
kwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu
njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi mwenyeji Wako Ni nani na house no ikikosea hauvuki
passport, card ya yellow fever
usitembee na dollar hazitumiki
Kama huna mwenyeji inakuaje sasa na pengine mtu unaenda kutafuta maisha
 
Back
Top Bottom