Naomba uambatane na mkeo na watoto halaf uhakikishe madeni yako yote hapa bongo umelipa kabla ya kuondoka.
Naomba uambatane na mkeo na watoto halaf uhakikishe madeni yako yote hapa bongo umelipa kabla ya kuondoka.
Unanifanya chambo sio??
kwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefuPanda taqwa kutoka dar mpaka lusaka halafu hapo utapanda basi mpaka kazingula border. Pale unavuka kwa kivuko then utapanda basi mpaka Francis town ambao ni mji wa pili kwa ukubwa Botswana. Hapo utapata gari za kwenda Gaborone. Gharama zote fanya kama laki 3 hivi.
Si apande tu ndegePanda mabasi yanayokwenda Tunduma,pale utachukua
mabasi ya Lusaka-Zambia.Lusaka utachukua mabasi yanayoelekea Kazungura boarder.Pale utavuka kwa kivuko kuelekea upande was Botswana,kisha utachukua usafiri wa kukufikisha Gaborone(sina uhakika kama Siku hizi kuna mabasi Lusaka -Gaborone).Luna kipindi mabasi hayo hayakuwepo
Sio hivyo Mkuu Kwa kuwa umeamua kutangulia.na m pia kumbuka najikusanya kusanya na kufatilia vitu vidogo vidogo vitavyoniwezesha kuamsha popo kihalali ndio maana nimesema hivyoUnanifanya chambo sio??
Ok mkuu nadhan kikubwa ni kuwasilianaSio hivyo Mkuu Kwa kuwa umeamua kutangulia.na m pia kumbuka najikusanya kusanya na kufatilia vitu vidogo vidogo vitavyoniwezesha kuamsha popo kihalali ndio maana nimesema hivyo
Mkuu kwa hiyo ili niingie kihalali bila usumbufu inabidi niandae vitu gani hasa mkuukwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu
njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi mwenyeji Wako Ni nani na house no ikikosea hauvuki
passport, card ya yellow fever
usitembee na dollar hazitumiki
Kwani Kiswahili sio language?Mi ni mtaalamu wa lugha (linguistics)
Hivyo nafundisha Language and kiswahili
Hahaahaa mkuu huku kwenye hii field tumeshazoea hivyo yaani language ina refer lugha za kigeni.Kwani Kiswahili sio language?
Jf photos imewaharibu akili. Yaani mabinti wa kitutsi ndo wanakufanya utake kwenda kuzurura rwanda! Mbona watutsi wapo Burundi mkuu. Halafu Tanzania kuna watoto wakali kuzidi hao. Wewe kama unataka kwenda kuzurura nenda tu maana huko wana maisha magumu, ajira hakuna, chakula ni shida ndo maana unaona wanakimbilia Tanzania.Mkuu ukifika nahitaji unipm kwan inawezekana nami nikatimka tz mida siyo ming nahitaj kubadili upepo .ila ninavutiwa Sana na Rwanda kwenda kufanya kazi huko badae niingie kwenye mambo ya biashara lakin sijaridhika bado nahitaj kuijua bostwan a then nipige hesabu zangu
Hata kiswahili ni lugha ya kigeni kwa wasioijua.Hahaahaa mkuu huku kwenye hii field tumeshazoea hivyo yaani language ina refer lugha za kigeni.
Mkuu jina unalotumia kweli unaendana nalo..ebu niambie Wa america wanatoka USA kuja kuwekeza huku tz INA maana kwao n kugumu sana..Mkuu tusivunjane moyo sio mabinti wanaonishawish MIM kwenda huko ningetaka hayo ningekimbilia Brazil au venezuelaJf photos imewaharibu akili. Yaani mabinti wa kitutsi ndo wanakufanya utake kwenda kuzurura rwanda! Mbona watutsi wapo Burundi mkuu. Halafu Tanzania kuna watoto wakali kuzidi hao. Wewe kama unataka kwenda kuzurura nenda tu maana huko wana maisha magumu, ajira hakuna, chakula ni shida ndo maana unaona wanakimbilia Tanzania.
Nifahamishe zaidi (linguistic) wetu, 'language' ni nini na 'kiswahili' nini kwa bandiko lako hapa juu!!?Mi ni mtaalamu wa lugha (linguistics)
Hivyo nafundisha Language and kiswahili
Mkuu nipo hapa kuomba msaada wa niliandika hapo juu na si kujibu maswali ya language mkuuNifahamishe zaidi (linguistic) wetu, 'language' ni nini na 'kiswahili' nini kwa bandiko lako hapa juu!!?
****Asante sana mkuu kumbe i can afford the cost. Ubarikiwe sana
Kama huna mwenyeji inakuaje sasa na pengine mtu unaenda kutafuta maishakwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu
njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi mwenyeji Wako Ni nani na house no ikikosea hauvuki
passport, card ya yellow fever
usitembee na dollar hazitumiki