FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,392
- 4,468
Hii mbinu inaweza kumfanya aone fursa kwa kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.Chimba handaki KUZUNGUKA shamba wakitumbukia wanashindwa kutoka!
Biashara ya mihogo na kitimoto.
Hii mbinu inaweza kumfanya aone fursa kwa kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.Chimba handaki KUZUNGUKA shamba wakitumbukia wanashindwa kutoka!
Tafuta mafuta ya simba mkuu pakaza vitambaa vifunge maeneo mbalimbali randomly shambani hasa pembezoni, hutaona nguruwe wala nyani shamnani kwako unless uvitoe hivyo vitambaa.Wadau,
Kama mada husika hapo nina shamba kubwa la mihogo changamoto kubwa niliyonayo ni nguruwe usiku wanafanya uharibufu.
Naomba mawazo na maarifa ya kuwadhibiti
Ahsanteni
Walaji huku sio wengi ilaha wameanza kuongezeka kuna jirani Yangu alikaa muda mrefu sana bila Kula nyama, usiku akawa anaota anakula nyama kumbe akawa anatafuna godoroHii mbinu inaweza kumfanya aone fursa kwa kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
Biashara ya mihogo na kitimoto.
Hapo sawa na michungwa, miembe, mipapai n.k. ila hao ngedere hutakuwa umewakimbiaNashukuru kwa mtizamo wako.Nafikiri kuchanganya Miti ya mbao na ya matunda mfano parachichi ILI niwe nafaidi kidogo kidogo kabla ya kuvuna mbao. Nahitaji kukosolewa
Umesema ukweli ILA katika miaka 4 ijayo kutakuwa tayari na watu wengi wamehamia eneo hilo hivyo hao wanyama nao watakimbia nami nitakuwa nimeanza kuvuna kuliko kuicha ardhi ikae bure kwa kuogopa wanyama pori.Hapo sawa na michungwa, miembe, mipapai n.k. ila hao ngedere hutakuwa umewakimbia
na radio wataibebaMkuu kama bado unahitaji njia rahisi ya kuzuia Nguruwe ni kuchimba Msingi wa upana kama Futi moja kwenye upande ule wanaoingilia au kuzunguka Shamba hapo hawawezi kupita tena coz Miguu yao ya mbele ni mifupi na hawawezi kuikunja hivyo utamkuta asubuh akihangaika hapo. Aidha kwa Nyani ni kuripua baruti iwe kwenye Gobole etc hapo hawawezi kurudi tena mana wanaogopa Bunduki sana.., ikishindikana nunua redio halafu uwe unaiwasha muda wao ule wanaokuja, iwashe sauti ya juu basi watajuwa mwenyewe yupo hivyo hawata ingia shambani.
Nb:
Hii ya Redio inabidi ujiridhishe na aina ya Nyani unayodeal nao kama ni wa Porini haswa itafanikiwa, ila wakiwa hawa wanaokula Mikate kama huyo kwenye avator yangu, ndugu yangu utawakuta wamemaliza Shamba lote huku wamebadili na stesheni wameweka Bongofleva wanaserebuka kwa furaha!!!
nimewala sana urambo vijijini aisee, uzuri wa huyu mnyama hana mafuta kama wale wa kufugwa,Utajiri huo ndugu, tafuta kibali maliasili uweke mitego ukamate uuze nyama. Hiyo mboga ni tamu kuku atasubiri mno...
Yani hadi nimekuonea wivu, aliyesema kwenye miti hakuna wajenzi hakukosea
Mkuu dog atafurukuta mbele ya hao u must be kiddingFuga ng'ang'a ndio dawa yao
Mkuu huyo Mbwa Zengwe la Nyani tu linamtosha., huwa kuna Nyani wanatembeaga wawili hawa wanatabia ya kumrubuni Mbwa ili awafate, wakishamsogeza kwenye Kipori kidogo wanamkamata then wanamkata Makofi ya haja, huo ukunga atakaopiga hapo akiachiliwa ni mbio plus kujikojolea hadi home!Mkuu dog atafurukuta mbele ya hao u must be kidding
Nashukuru mkuu manake shughuuli ya nyani c mchezo wanafanya reasoning kubwa kumrubuni mbwaMkuu huyo Mbwa Zengwe la Nyani tu linamtosha., huwa kuna Nyani wanatembeaga wawili hawa wanatabia ya kumrubuni Mbwa ili awafate, wakishamsogeza kwenye Kipori kidogo wanamkamata then wanamkata Makofi ya haja, huo ukunga atakaopiga hapo akiachiliwa ni mbio plus kujikojolea hadi home!
Ni kweli Mkuu., Nyani ni miongoni mwa Wanyama wanaotumia Ubongo vizuri kufanya matukio.., nje ya Mada, Hivi Mgunga si ule wenye miba?Nashukuru mkuu manake shughuuli ya nyani c mchezo wanafanya reasoning kubwa kumrubuni mbwa
Ndio huo mkuu tena unapatikana zaidi sehem zenye asili ya ukameNi kweli Mkuu., Nyani ni miongoni mwa Wanyama wanaotumia Ubongo vizuri kufanya matukio.., nje ya Mada, Hivi Mgunga si ule wenye miba?
Ni kweli Mkuu naukumbuka sana, kuna Jamaa enzi hizo Kijijini tumekwenda kuwinda, Jamaa akachepuka kidogo kujisaidia hamadi Mbwa Mwitu wakamtoa mbio basi huwezi amini huo Mti aliupanda akiwa uchi hadi kileleni tena ndani ya Sekunde, cha ajabu baada ya wale Mbwa kupotea ameshindwa kushuka mwenyewe eti ule Mti una miba!!!Ndio huo mkuu tena unapatikana zaidi sehem zenye asili ya ukame
Ndio hvyoo uhai kwanza mengine baadae mkuuNi kweli Mkuu naukumbuka sana, kuna Jamaa enzi hizo Kijijini tumekwenda kuwinda, Jamaa akachepuka kidogo kujisaidia hamadi Mbwa Mwitu wakamtoa mbio basi huwezi amini huo Mti aliupanda akiwa uchi hadi kileleni tena ndani ya Sekunde, cha ajabu baada ya wale Mbwa kupotea ameshindwa kushuka mwenyewe eti ule Mti una miba!!!