Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

Pole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..
Utashitakiwa na chama cha watetezi wa haki za wanyama.
 
Changanya pumba za mahindi na cement. Weka kwenye makarai shambani pamoja na sufuria lenye maji. Baada ya siku 2 tatizo litakwisha.
 
Chimba msingi kuzunguka shamba lote wenye kina cha mita moja kwenda chini
 
Lakini hii njia ninayopendekeza inatumika kama shamba sio kubwa sana. Una nunua dizeli kiasi km lita 5 au zaidi halafu chukua matambara au vitambaa chakavu viloweke kwenye dizeli halafu uweke kuzunguka shamba ukiacha nafasi kati ya hivyo vitambaa. Ukiweza weka pia kwenye njia zao. Utaona matokeo
 
Kisarawe hawa wadudu walinifanya nichukie kilimo cha mihogo..... Mchana nyani wanavunja mashina YA mihogo usiku nguruwe wanachimba mihogo... Yaaani we Acha tu nyani kumi ndani y lisaa wanaweza kuvunja mihogo kwenye shmba la heka Tano likawa kama uwanja wa mpira..... Kuna jiran yangu nyani walivuba maembe jamaa akawa anasema anaenda kuwaloga
Hatar sana mkuu,kwenda kuwaroga nyani!
 
Lakini hii njia ninayopendekeza inatumika kama shamba sio kubwa sana. Una nunua dizeli kiasi km lita 5 au zaidi halafu chukua matambara au vitambaa chakavu viloweke kwenye dizeli halafu uweke kuzunguka shamba ukiacha nafasi kati ya hivyo vitambaa. Ukiweza weka pia kwenye njia zao. Utaona matokeo
Inafanyaje kazi
 
mimi nilidhibiti hawa wadudu kwa kutumia

fensing wire though it is costful. kwa kuzungusha kamba mbili za seng'enge ile yenye vuchuma vilivyongoka ngiri hakatizi na hata nyani inamuwia ngumu
Mimi nilijaribu hii njia nikafaulu kuzuia nguruwe ILA nikafail kwa Nyani
 
Hapana hata mitano had I kumi navuna ILA bado nafanya tafakari (tathmini) juu ya faida na hasara ya huo mpango. Kama kuna MTU mwenye mtizamo tofauti nitashukuru kukosolewa
Miti ya mbao miaka 5? Sijawahi ona. Mimi ni mkulima wa miti ya mbao inagawa ni moshi kwetu si Pwani
 
Miti ya mbao miaka 5? Sijawahi ona. Mimi ni mkulima wa miti ya mbao inagawa ni moshi kwetu si Pwani
Nashukuru kwa mtizamo wako.Nafikiri kuchanganya Miti ya mbao na ya matunda mfano parachichi ILI niwe nafaidi kidogo kidogo kabla ya kuvuna mbao. Nahitaji kukosolewa
 
Back
Top Bottom