Duh hii njia umenikumbusha mbali sana. Sio lazima azungushie shamba zima, achunguze njia wanazoingilia shambani ndio achimbe, sio handaki in such.... Ni kitu kama mtaro.Chimba handaki KUZUNGUKA shamba wakitumbukia wanashindwa kutoka!
Wanabadilishaga Njia hao..ila nyama yao wee achaDuh hii njia umenikumbusha mbali sana. Sio lazima azungushie shamba zima, achunguze njia wanazoingilia shambani ndio achimbe, sio handaki in such.... Ni kitu kama mtaro.
Hahaha eti nyama yao, yaani ndege wawili kwa jiwe moja.... Unawadhibiti na nyama unapataWanabadilishaga Njia hao..ila nyama yao wee acha
Msimu kama uhuu kisarawe mapori yanachomwa Sana na wawindaji wa nguruwe pori......Hahaha eti nyama yao, yaani ndege wawili kwa jiwe moja.... Unawadhibiti na nyama unapata
Hahaha eti kuwalogaKisarawe hawa wadudu walinifanya nichukie kilimo cha mihogo..... Mchana nyani wanavunja mashina YA mihogo usiku nguruwe wanachimba mihogo... Yaaani we Acha tu nyani kumi ndani y lisaa wanaweza kuvunja mihogo kwenye shmba la heka Tano likawa kama uwanja wa mpira..... Kuna jiran yangu nyani walivuba maembe jamaa akawa anasema anaenda kuwaloga
Pole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..Kisarawe hawa wadudu walinifanya nichukie kilimo cha mihogo..... Mchana nyani wanavunja mashina YA mihogo usiku nguruwe wanachimba mihogo... Yaaani we Acha tu nyani kumi ndani y lisaa wanaweza kuvunja mihogo kwenye shmba la heka Tano likawa kama uwanja wa mpira..... Kuna jiran yangu nyani walivuba maembe jamaa akawa anasema anaenda kuwaloga
Huyo mdudu ukim-rost na kisha upate sembe la muhogo ushushie na konyago poli walahi Tunamshukuru MunguHahaha eti nyama yao, yaani ndege wawili kwa jiwe moja.... Unawadhibiti na nyama unapata
Mii Niko kibiti nakomaa kivyangu kaka..Msimu kama uhuu kisarawe mapori yanachomwa Sana na wawindaji wa nguruwe pori......
nasikia yanaota ukichimba mcha,so shart uchimbe Usiku.Wanabadilishaga Njia hao..ila nyama yao wee acha
Hapana mkuu hawaoti isipokuwa wananusa harufu na jasho la binaadam.nasikia yanaota ukichimba mcha,so shart uchimbe Usiku.
ahahahaah ampake oil chafu tu amwachie watahama wote umenikumbusha long nikiwa moshiPole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..
fensing wire though it is costful. kwa kuzungusha kamba mbili za seng'enge ile yenye vuchuma vilivyongoka ngiri hakatizi na hata nyani inamuwia ngumuPole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..
Hii ni nyara ya serikali ataipataje?Tafuta mafuta ya simba upake kwenye kitambaa then kiweke shambani. Wakija wakisikia harufu ya mafuta ya simba watajua kuna simba hawatakuja tena...