Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

Lema katualika twende ofisini ufipa ili tuone namna ya kuipata hiyo pesa ili tulipe waweze kwepa kifungo

Mkuu wahi kwenye kikao cha huo mchango. Mpitie na Makonda maana huwa analazimisha kuwepo kwenye vikao vya chadema ili asikie wanaongea nini, kwakuwa yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.
 
Jitu hata kodi ya nyumba linashindwa kulipa kazi kukwepana na baba mwenye nyumba Leo mumchangie Mbowe, mmesahau hata mama zenu vijijini wanapata tabu hela hawana. Watakaochanga ni mazwazwa

Kwasababu mama yako anapata tabu kijijini basi unadhani kila mtu mama yake anapata tabu. Kwa taarifa yako watu tuko hapa hapa mjini, na wazazi wetu wako hapa hapa mjini. Sio kila mtu katoka bush kama wewe
 
Back
Top Bottom