Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,136
- 27,083
Wakuu kwa muda mrefu sasa huyu Bwana anayejulikana kama Jullian Assange amekuwa akianika maovu ya serikali nyingi duniani, toka aanzishe mtandao wake wa Wikileaks karibu miaka 10 iliyopita, ameweza kupata misukosuko mbalimbali ikiwemo kupewa kesi ya ubakaji!!
Swali langu, ni vipi Assange anaweza kupata taharifa toka serikali zenye mifumo madhubuti kama Marekani? Ni kwamba huyu mtu ana akili sana au amekuwa akipenyezewa habari toka watu wa ndani wa serikali husika?