Kwanini hujibu SMS unaforce kupigiwa?

Kwanini hujibu SMS unaforce kupigiwa?

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,717
Reaction score
5,568
Baadhi ya wafanya biashara

umeona huduma yake insta hajaweka namba kuwa clickable ili iende moja kwa moja whatsapp unacopy pembeni kisha unatuma sms hajibu chochote.

unahamia whatsapp hajibu vhochote blue tick tu.

nyie mnaopenda kuongea ongeza mabei kwenye simu hivi mnajua sio wote tuna maxingira hayo yaani nitoke nikatafute eneo tulivunili tuongee. vitu vidogo tu kama bei na taratibu?

unataka kila mtu apoteze muda namna hiyo au aongee mbele za watu wajue anachotaka kununua inakuwa si privacy tena?

mwingine anatangaza biashara online unatuma text yeye anakupigia yaani anaforce kukupigia kila saa unajua niko kwenye mazingira gani?

ukikata ukamtumia sms anaona hauko serious au tapeli.

hivi iutapeliwa hauwezi tapeliwa kwa maongezi wanaotapekiwa wanatapekiwa kwa sms sio?

jifunze kutumia njia hiyo hiyo ambayo mtu anawasliana na wewe usibadili chaneli ya mawasiliano bila ridhaa ya akieanza.

kama uko bize sana atajua namna

eti nipigie nipigie unakuwa hasa madalali mtoa huduma au muuzaji unakosa sms, internet? serous
 
Back
Top Bottom