Namna nzuri ya kutengeneza six pack bila kunyanyua vyuma

Hebu nieleweshe chuma unapiga vipi kutengeneza six park? Zaidi ya mikono, kifua, trapezium, miguu, tako, na shoulders.

= pack

"six pack" huwa tumboni tu, huko kwengine ni mengineyo. Na jina hilo lilipatikana kutokana na mfungo wa vinywaji vya chuoa au kopo sita sita ulipoanza, watengeneza miili (body builders) wakaifananisha na misuli yao inavyojengeka tumboni ndiyo ukawa msemo wa "six pack" kwenye kutengeneza tumbo (abs). Ingawa ukiltengeneza vizuri kunawezekana kuonekana mpaka packs nane.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Asante kwa masahihisho. Shuleni huwezi kusomea ujinga na siamini kama kukosea herufi ndiyo ujinga wenyewe.

Hukukosea herufi tu, umekosea mpaka eti kutaka six pack "Zaidi ya mikono, kifua, trapezium, miguu, tako, na shoulders.".

"trapezium" kwenye mwili wa binadam nijuavyo ni mfupa ulio kwenye kiganja chini ya kidole gumba, sasa unataka "six pack" kwenye mfupa huo?

Na hizo "six pack" za kwenye tako ulizianzisha wewe?

Mkiambiwa shule mmesomea ujinga mnabisha.
 
= pack

"six pack" huwa tumboni tu, huko kwengine ni mengineyo. Na jina hilo lilipatikana kutokana na mfungo wa vinywaji vya chuoa au kopo sita sita ulipoanza, watengeneza miili (body builders) wakaifananisha na misuli yao inavyojengeka tumboni ndiyo ukawa msemo wa "six pack" kwenye kutengeneza tumbo (abs). Ingawa ukiltengeneza vizuri kunawezekana kuonekana mpaka packs nane.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hukukosea herufi tu, umekosea mpaka eti kutaka six pack "Zaidi ya mikono, kifua, trapezium, miguu, tako, na shoulders.".

"trapezium" kwenye mwili wa binadam nijuavyo ni mfupa ulio kwenye kiganja chini ya kidole gumba, sasa unataka "six pack" kwenye mfupa huo?

Na hizo "six pack" za kwenye tako ulizianzisha wewe?

Mkiambiwa shule mmesomea ujinga mnabisha.
Unapo kosoa kwa kumkashifu mtu inakuwa haina maana yoyote....itaonekana ww huyo unae kosoa ni pimbi na elimu yako haikusadii chochote...
Mkosoe mtu vizur na umuelekeze pale alipo kosoa sio kumtukanisha na shule alipo somea.....
 
Wapi nimekashifu, unajuwa maana ya kukashifu?

Punguani wahed.
 
= pack

"six pack" huwa tumboni tu, huko kwengine ni mengineyo. Na jina hilo lilipatikana kutokana na mfungo wa vinywaji vya chuoa au kopo sita sita ulipoanza, watengeneza miili (body builders) wakaifananisha na misuli yao inavyojengeka tumboni ndiyo ukawa msemo wa "six pack" kwenye kutengeneza tumbo (abs). Ingawa ukiltengeneza vizuri kunawezekana kuonekana mpaka packs nane.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hukukosea herufi tu, umekosea mpaka eti kutaka six pack "Zaidi ya mikono, kifua, trapezium, miguu, tako, na shoulders.".

"trapezium" kwenye mwili wa binadam nijuavyo ni mfupa ulio kwenye kiganja chini ya kidole gumba, sasa unataka "six pack" kwenye mfupa huo?

Na hizo "six pack" za kwenye tako ulizianzisha wewe?

Mkiambiwa shule mmesomea ujinga mnabisha.
Heheheheeee nadhani tumeshindwa kuelewana ndugu. Nazungumzia kutengeneza misuli nikipingana na swala la kunyanyua vyuma kitengeneza misuli ya tumbo
 
no pain no gain hakuna short cut tu lazima upige zoez la maana tena kwa muda mwng tyu
 
Back
Top Bottom