Namna mashirika ya nje ya kijasusi yanavyowarecruit wazawa kuwa mawakala wao

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Mashirika mengi ya kijasusi duniani huwa yanakuwa na mawakala wazawa katika nchi ambazo wana interest zao ili kuweza kuwatumia kwenye mission zao inapohitajika.

Mfano mosad Kuna watu wanaitwa katsas Hawa ni mawakala wa mossad kwenye nchi za kigeni ambao husaidiana na maofisa wa mossad Kama wakiwa na operation katika nchi za kigeni.

Hata hapa bongo katsas wapo ila sio rahisi kabisa kuwatambua; kila kitu hufanywa kwa codes ili kuweza kuwasiliana na mossad waliopewa jukumu fulani la kulitekeleza.

Wanachagua watu gani?

Mara nyingi huchaguliwa kwa Siri watu makini wenye heshima zao ktk jamii Hawa hulishwa kiapo na kuingizwa kwenye payroll ya mossad kazi Yao kubwa ni kufanya vetting ya vijana intelligent cream na kuwachannel kwenye scholarship nje ya nchi ambapo wakifika huko Sasa badala ya kusomea let say kilimo basi wanaingizwa Sasa kwenye special program za mossad.

Itaendelea...
 
Dona sana mtimbwili duuuh kasuke tu usiku hakuna mwanga daah wenyeji nyie mna mambo sana tuu
 
Back
Top Bottom