Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Kitobo kizuri kinajulikana kwa namna kilivyochorongwa, kile cha madam ni kama mtu katema bubble gum halafu kaibandika tu ukutani...

Hii comment asiione bro Evelyn Salt
😂😂😂😂😂😂😂😂 Bro nmecheka mnoooo we utakua timu tumbuaaaa, aaah nasikia kinasifiwa kama cha mtoto wa darasa la pili, kinabana banana
 
View attachment 3388536Kwa miaka mingi ulikuwepo uvumi usiokoma wa uwepo wa video za utupu za muigizaji na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania (namba 5) mwaka 2006 Irene Pangras Uwoya.

Uvumi huo hatimaye ulifikia kikomo na kugeuka uhalisia miaka mitatu iliyopita zilipovuja picha za utupu zilizoleta ‘gharika’ mitandaoni huku zikiibua mijadala ya kila namna.

Uwoya alitaka kufuta tattoo…
Irene ambaye hivi sasa amemrudia Mungu akihudumu katika kanisa, alianza mapema kuyakataa mambo ya ‘kidunia’ ambapo aliazimia kufuta tattoo alizokuwa amejichora sehemu mbalimbali katika mwili wake.

Ndipo akaunganishwa na kijana ambaye alikuwa hodari katika kazi hiyo ya kuondosha michoro mwilini. Wakafanya makubaliano kisha Irene akapewa ‘huduma’ ya kufuta tattoo.

Kijana alimfanyia uhuni Uwoya!
Katika kilichoonekana kama mchakato wa kufuta tattoo, Irene alipatiwa dawa ya usingizi ili kupunguza maumivu yatokanayo na uondoshwaji huo wa tattoo mwilini.

Irene alipopotelea usingizini ndipo kijana akawakwa tamaa ya pesa na kimwili. Fikra za Irene Uwoya kuwa mtupu mbele yake huku akiwa hajitambui zilimtoa fahamu kijana, ndipo akamuingilia pasi na idhini yake Irene ikiwa ni pamoja na kumpiga picha nyingi pamoja na video.

Baba Uwoya ‘Mafia’, aingia mzigoni!
Mnawasikiaga wale wazee wa vitengo? Ndio baba yake Uwoya sasa. Ni mtu mzito haswa na pesa ipo ndefu.

Video zilipovuja mzee Pangras aliwaita vijana wake akawapa agizo la kumleta mbele yake kijana mfuta tattoo upesi akiwa mzima.

Vijana walitii agizo la mkuu wao na ndani ya muda mfupi kijana mfuta tattoo alitiwa nguvuni na kupelekwa mbele ya mzee Uwoya mwenyewe.

Hadi hii leo sio mimi wala chanzo changu tunaojua yalimkuta yepi kijana mfuta tattoo mikononi mwa mzee wa kitengo, alivuna alichopanda.

Kupitia chanzo changu nyeti,

Nifah.
Uwongo mtupu. Yule jamaa yupo zake kila siku anapost Instagram.
 
Hii mada inataka kumsafisha Irene owoya kuwa hakufanya umalaya Kwa kukusudia kitu ambacho ni uongo kabisa
Naungana na ww kwa sababu mbon izo tatoo bado ako nazo ? au kijana alijilia vyeke kisha akasepa bila ya kufuta izo tatoo?
na kupewa dawa ya usingizi tu hazikuondolei hisia za maumivu 😀
 
Naungana na ww kwa sababu mbon izo tatoo bado ako nazo ? au kijana alijilia vyeke kisha akasepa bila ya kufuta izo tatoo?
na kupewa dawa ya usingizi tu hazikuondolei hisia za maumivu 😀
Uliziona wapi?
 
Kijana alitakiwa kuwa Gerezani lakini wabongo tunachukulia mambo mengi kijuu juu tu
 
Haya sasa, thread mliyoiomba sana hadi mmenifuata PM nimewawekea.

Chagueni niwaandikie nini baada ya hii next week…

1. Zaylissa mapepe, Manara alikuwa anachapiwa na huyo bwana yake wa kudumu ni star mkubwa tu.

2. ‘King’ wa usagaji bongo movie na list ya wote aliowasaga akiwemo na ‘mkewe’ wa kudumu
Ona sasa, mambo gani haya, yaani unstaka kusababisha na mimi nijibanze dirishani ili kusubiri ili nichungulie kilichomo ndani ya nyuzi utakazoleta...nageuzwa mdaku hivihivi najiona
 

Attachments

  • Screenshot_20250630_154207_Instagram.jpg
    Screenshot_20250630_154207_Instagram.jpg
    237.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom