Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

Namna ‘connection’ ya Uwoya ilivyovuja!

View attachment 3388536Kwa miaka mingi ulikuwepo uvumi usiokoma wa uwepo wa video za utupu za muigizaji na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania (namba 5) mwaka 2006 Irene Pangras Uwoya.

Uvumi huo hatimaye ulifikia kikomo na kugeuka uhalisia miaka mitatu iliyopita zilipovuja picha za utupu zilizoleta ‘gharika’ mitandaoni huku zikiibua mijadala ya kila namna.

Uwoya alitaka kufuta tattoo…
Irene ambaye hivi sasa amemrudia Mungu akihudumu katika kanisa, alianza mapema kuyakataa mambo ya ‘kidunia’ ambapo aliazimia kufuta tattoo alizokuwa amejichora sehemu mbalimbali katika mwili wake.

Ndipo akaunganishwa na kijana ambaye alikuwa hodari katika kazi hiyo ya kuondosha michoro mwilini. Wakafanya makubaliano kisha Irene akapewa ‘huduma’ ya kufuta tattoo.

Kijana alimfanyia uhuni Uwoya!
Katika kilichoonekana kama mchakato wa kufuta tattoo, Irene alipatiwa dawa ya usingizi ili kupunguza maumivu yatokanayo na uondoshwaji huo wa tattoo mwilini.

Irene alipopotelea usingizini ndipo kijana akawakwa tamaa ya pesa na kimwili. Fikra za Irene Uwoya kuwa mtupu mbele yake huku akiwa hajitambui zilimtoa fahamu kijana, ndipo akamuingilia pasi na idhini yake Irene ikiwa ni pamoja na kumpiga picha nyingi pamoja na video.

Baba Uwoya ‘Mafia’, aingia mzigoni!
Mnawasikiaga wale wazee wa vitengo? Ndio baba yake Uwoya sasa. Ni mtu mzito haswa na pesa ipo ndefu.

Video zilipovuja mzee Pangras aliwaita vijana wake akawapa agizo la kumleta mbele yake kijana mfuta tattoo upesi akiwa mzima.

Vijana walitii agizo la mkuu wao na ndani ya muda mfupi kijana mfuta tattoo alitiwa nguvuni na kupelekwa mbele ya mzee Uwoya mwenyewe.

Hadi hii leo sio mimi wala chanzo changu tunaojua yalimkuta yepi kijana mfuta tattoo mikononi mwa mzee wa kitengo, alivuna alichopanda.

Kupitia chanzo changu nyeti,

Nifah.
Irene hakutumia akili, alitakiwa awepo mtu mwingine either rafiki wa kiike au mama yake au jata ndugu wa kike anaeaminika asimamie wakati anafutwa tatoo, unawekewa dawa za usingizi na muhini ukiwa peke yako unategemea nini?
 
Mzee Uwoya alishindwa kumlea binti yake kwenye maadili mazuri

Toto linakuwa malaya na kujichora tattoos

Waungwana wanachukua kichupa cha uchi wa binti yake kuubless mtaa

Mzee anajifanya mafia kuwawinda awatie nguvuni

Binti malaya ni aibu kwa baba

 
Mzee Uwoya alishindwa kumlea binti yake kwenye maadili mazuri

Toto linakuwa malaya na kujichora tattoos

Waungwana wanachukua kichupa cha uchi wa binti yake kuubless mtaa

Mzee anajifanya mafia kuwawinda awatie nguvuni

Binti malaya ni aibu kwa baba

Daaah kumamake ila wee jamaa 🤣🤣🤣
 
Hadi hii leo sio mimi wala chanzo changu tunaojua yalimkuta yepi kijana mfuta tattoo mikononi mwa mzee wa kitengo, alivuna alichopanda.

Watu watakuwa walisuuza nao rungu...
 
Back
Top Bottom