hii kitu hata mim nishawahi kusikia ila naskia kufa kwao ni kwa mateso sana
JamiiForums
Habari na Hoja mchanganyiko
Yahusu kuchanjiwa muku
Thread starterMshana Jr Start dateApr 20, 2016
Tags None Edit
1
…
11
Next
MODERATION JUMP TO NEW UNWATCH •••
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#1
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu
Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa muku ni wagumu kuugua kuumia na kiboko ya yote kufa aliyechanjiwa muku ni mtu mwenye roho ngumu hasa akikamatwa kwa mfano kwenye tukio la ujambazi au wizi na wananchi wenye hasira kali wanaweza kumpiga mpaka wakadhani wameua lakini siku inayofuta akakutwa bado anapumua.
Muku ni mzuri Unapokuwa hai lakini ni kitu kibaya kabisa unapokaribia kuachana na dunia hii kwa maana ya kifo...watu waliochanjiwa muku hufa kwa mateso makubwa sana kutokana na madawa aliyokunywa na kufanyiwa...akifanikiwa kufa mapema basi si chini ya siku tatu na hata akipata ajali mbaya kabisa au hata kuchomwa moto au kukatwa shingo mwili wake huchukua muda mrefu mno kupo.
Ninafahamu wengi wanapenda ujasiri na kuwa na kinga ya muku lakini kumbuka mateso siku roho yako ikitaka kuachana na mwili wako
Ukiweza kafanye lakini madhara yake ndio hayo
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Likes:Ndutulyama, Lavan Island, modavid and 18 others
metallica
Metallica
Member
Apr 20, 2016
#2
Dunia inamaajabu mengi kwa kweli
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Prince Mhando and colours
HARUFU
HARUFU
Platinum Member
Apr 20, 2016
#3
Utasikia "jamaa ana Muku"
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You and Prince Mhando
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#4
HARUFU said:
Utasikia "jamaa ana Muku'
Kwa tafsiri ya mjini ni usongo au kupania kufanya kitu
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes
😛rince Mhando, Fekifeki, Hussein Melkiory and 2 others
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#5
metallica said:
Dunia inamaajabu mengi kwa kweli
Test ya kuangalia kama dawa ya muku imekubali ni kuchimbiwa shimoni na kinu cha mahindi Kuwekwa kichwani kisha watafutwe kina mama wawili wenye nguvu wayatwange mpaka yalainike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes:MZEE RAZA, Prince Mhando, Fekifeki and 6 others
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#6
Test nyingine za muku ni kukatwa na jambia bila kupata madhara makubwa, kupita kwenye moto mkali na kuangushwa kwenye gemo
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes
😛rince Mhando, Hussein Melkiory and Daudi Mchambuzi
Hansss
Hansss
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#7
Kaka ni kweli hiyo kitu lakini kwa sasa ni wachache sana wanaochanja muku kwani masharti yake huwa ni magumu kiasi ukizingatia na hali ya kimaisha
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Prince Mhando, Hussein Melkiory and 1 other person
Bailly5
Bailly5
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#8
Ila kuna watu wana roho ngumu sana aisee. Nakumbuka nilisikia unaweza ukampiga mwizi mwenye muku akiomba maji mkimpa tu anakuwa na nguvu tena
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Prince Mhando, Hussein Melkiory and 1 other person
Sky Eclat
Sky Eclat
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#9
Ukiwa umechanjwa muku usianzishe ugomvi, kama unaonewa utawapiga hao waliokuonea uwaumize vibaya sana, lakini kama umechokoza utadundwa vibaya sana.
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Prince Mhando, Hussein Melkiory and 1 other person
Munkari
Munkari
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#10
Mmmhh! Muku
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You and Prince Mhando
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#11
Sky Eclat said:
Ukiwa umechanjwa muku usianzishe ugomvi, kama unaonewa utawapiga hao waliokuonea uwaumize vibaya sana, lakini kama umechokoza utadundwa vibaya sana.
Na hili ndio tatizo au sharti la muku...shida moja wengine huwa wanaitumia vibaya hii fani
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes:Ambiele Kiviele, Prince Mhando, Werrason and 3 others
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#12
Munkari said:
Mmmhh! Muku
1461169373199-jpg.341130 na kikorea juu Munkari
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes:Ambiele Kiviele, Prince Mhando, Hussein Melkiory and 1 other person
tozi25
Tozi25
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#13
Hivi hio MUKU itafanya kazi ukipigwa risasi?. Siku, Saa na dakika ikifika hakuna Muku kuchelewesha kifo wala nini chanjo gani ina nguvu zaidi ya amri ya Mungu??
Like
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes
😛rince Mhando, black sniper, Hussein Melkiory and 1 other person
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu
Platinum Member
Apr 20, 2016
#14
Ahahahaaaaa hizi simulizi huwa zinachekesha sana.
Like
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:modavid, Prince Mhando, black sniper and 1 other person
Mshana Jr
Mshana Jr
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#15
Nyani Ngabu said:
Ahahahaaaaa hizi simulizi huwa zinachekesha sana.
Kwa wanaopenda kuchekacheka
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Edit
Delete
Likes:Ambiele Kiviele, merengo90, Prince Mhando and 7 others
Mwasu
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#16
Kama ni bondia na unataka uwapige wapinzani wako MUKU itafanya kazi?
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Pan AM, Prince Mhando and 1 other person
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu
Platinum Member
Apr 20, 2016
#17
mwasu said:
Kama ni bondia na unataka uwapige wapinzani wako MUKU itafanya kazi?
Hakuna cha muku wala mimi bana.
Ni stori tu.
Like
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes
😛rince Mhando, Hussein Melkiory, Migomba and 1 other person
G.Jacob
G.Jacob
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#18
Kuna mtu namjua hata avamiwe na kundi la watu anaibuka kidedea tu...ni moja kati ya watu waliozima vuguvugu la panya road hapa mitaa ya Dar
Kuna siku panya road walivamia sehemu akaenda huko kupambana nao na inasemekana alichomwa kisu lakini hakikupenya mwilini mwake
Wanamuita MGOSI...hapa ndo nimeelewa siri yake leo...kumbe ni MUKU
Unlike
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes:You, Prince Mhando, Werrason and 6 others
Mwasu
JF-Expert Member
Apr 20, 2016
#19
Nyani Ngabu said:
Hakuna cha muku wala mimi bana.
Ni stori tu.
Haahaahaa mkuu mie nataka nichanjiwe muku nikafanye fujo kituo cha polisi.
Like
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes
😛rince Mhando, ipyax and Miiku
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu
Platinum Member
Apr 20, 2016
#20
mwasu said:
Haahaahaa mkuu mie nataka nichanjiwe muku nikafanye fujo kituo cha polisi.
Haya kila la kheri.
Like
Quote
Reply
Select for moderation
Report
Likes
😛rince Mhando
1
…
11
Next
Share: Facebook Twitter Google+ Reddit WhatsApp Email Link Telegram Instagram
Write your reply...
Mshana Jr
POST REPLY PREVIEW ATTACH FILES
Mshana Jr
Edit avatar
Mshana Jr
JF-Expert Member
Messages 103,119
Likes 122,094
Trophy points 280
FORUM STATISTICS
THREADS
1,241,941
MEMBERS
477,445
POSTS
29,439,259
FACEBOOK
TWITTER
TELEGRAM
INSTAGRAM
Habari na Hoja mchanganyiko
Contact usTerms and rulesJamiiForums' Privacy PolicyHelp
Up to top