Namna bora ya kukata roho

Namna bora ya kukata roho

How do you know that the stories aren't fictional?!
I only believe proven facts.Did Jesus ever lived on Earth? Yes,secular history prove that,so too the Bible.
you can read it for yourself to prove.
for example: Isaiah 40:22 will amaze you.
 
I only believe proven facts.Did Jesus ever lived on Earth? Yes,secular history prove that,so too the Bible.
you can read it for yourself to prove.
for example: Isaiah 40:22 will amaze you.
Read what to prove what?!!
 
Screenshot_20170920-162743.png
 
Katikati ya kifo na uzima kuna vita kubwa sana hutokea.. Vita ya kugombea roho kati ya nguvu hasi na nguvu chanya yale mahangaiko yale ya marehemu ni kielelezo cha vita hiyo
Unapoishi maisha mawili mwisho wako huwa hivi... Yaani kwa Mungu kidogo kwa shetani kidogo lazima siku ya mwisho upate shida.. Lakini ukiwa na upande ulionyooka hata mwisho wako huwa wa starehe sana.. Amani tupu... Unafumba macho tena kwa tabasamu halafu huyoo haupo tena
 
Maisha unayoishi sasa yanachora ramani ya mwisho wako... Chagua upande sasa ili uweze kuchora ramani yako vema.. Jijulishe bila woga kuwa upande wangu ni huu
 
kumbe kunauwezekano wakumsaidia mtu asielekee njia mbaya katika ulimwengu waroho... ila lazima na mimi nijitahd kuingia ulimwengu wa roho bila kufa hii naiitaji
 
Back
Top Bottom