Kuna kitabu fulani cha fasihi ya kiswahili kinaitwa "Usiku utakapokwisha......"Tatizo la watawala ni kuogopa kukosolewa na kuwajaza elimu ya kujitambua wananchi.
Watawala wanahofu kubwa sana siku wananchi wakijua haki zao basi ccm ndiyo itakuwa kwaheri