Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

Ndugu yangu unataka rais aingilie mihimili ya dola?.ili mbowe aachie siku zote wema huonekana kama hana makosa ataachiwa tu najua kila binadamu anayo mapenzi kwa namna fulan kwa mtu fulani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tunategemea kupata ufumbuzi wa matatizo yetu toka kwao watendaji walio yaanzisha, wakatimuliwa na kisha kurejeshwa kundini.
Makosa ya viongozi wetu ni kukosa broad scope ya kuchagua watanzania wataalamu waliojaa kibao hata katika sectors binafsi. Kurudia rudia wale wale wakilasiku miaka nenda rudi si jambo jema kabisa kwasababu wanarevive ile mirija na makundi yao ya ulaji iliyoparanganyika.
 
Kwa kifupi, wanaoitwa Mabeberu watakuwa wamepata mwanya au upenyo wa kuingiza agenda zao na ambazo obviously zitawagharimu watawala na chama chao kwa ujumla. Kama wakiamua kumfunga Mwamba

Makosa ya viongozi wetu ni kukosa broad scope ya kuchagua watanzania wataalamu waliojaa kibao hata katika sectors binafsi. Kurudia rudia wale wale wakilasiku miaka nenda rudi si jambo jema kabisa kwasababu wanarevive ile mirija na makundi yao ya ulaji iliyoparanganyika.
Well saidi. Ni kweli kurudia rudia wale wale ni kulinda mirija yao ya upigaji.
 
Back
Top Bottom