Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Namkataa Paul Makonda, sijamtuma Bungeni

Halitumwa na mataira wenzake na siyo wana jamiiforum sisi tuna akili timamu bwana acha ujinga huo makonda wa kutuchafua wa jf
 
Angesema anawawakilisha watu wote wasio na akili timamu, labda hapo angekuwa amezungumza point!!!!!
 
Leo katika Bunge Maalum la Katiba huyu bwana, Paul Makonda amedai kuwa anapiga kura ya 'ndio' kwa niaba ya vijana wote wenye akili timamu na kwa niaba ya wanachama wa Jamiiforums.

Mimi ni kijana mwenye akili timamu, na mwanachama wa Jamiiforums.

Sijamtuma Paul Makonda na wala sitaki kuwakilishwa nae katika hili, aache kujipendekeza kwangu na wana JF wenzangu kwani hatukukaa kikao chochote tukamtuma atuwakilishe.

Ajisimamie mwenyewe kama anajiamini, asitafute 'kick'!

Sikiliza alivosema eti anatuwakilisha wanajamiiforums.


[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=189356&d=1412071154[/JFMP3]
Mwendawazimu yule.. humu ni JAMIIFORUMS yeye kataja JAMIIFORUM..labda kaanzisha mtandao wake na mkewe #*#*##** zake... psycho
 
huu ni ujinga sana kuwawakilisha waio kutuma hahahahahahah r
 
...ni mwizi tu makonda kama mafisadi papa....

Lakini Paulo Makonda si walisema anaiba simu tuu? Sasa jamani hata simu ndio awe fisadi papa? Nyie nanyi waonevu jamani! Simu ndio mumpandishe cheo mpaka fisadi papa?mngesema hao mapapa wanamtumia Radio Casseti kwamba unaweka tape halafu yenyewe inaimba wimbo uupendao hapo sawa.
Ila hilo la kutumwa na JF alistahili ale ban ya muda fulani kwa kuwa singizia uongo wanaJF mbele ya jamii.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Makonda naye mwanasiasa kiongozi?, baada ya kushindwa kwenye uchaguzi,sasa anaramba matapishi na huyu anawinda madaraka kama mwigullu!!
 
Mwendawazimu yule.. humu ni JAMIIFORUMS yeye kataja JAMIIFORUM..labda kaanzisha mtandao wake na mkewe #*#*##** zake... psycho
Anatafuta umaarufu kupitia humu, wakati wakuu wake wa kazi hawana hamu na sisi.
 
EL anasubiri BMK liishe amshughulikie huyu kimburu kwa kutumiwa vibaya na Diallo.
 
Makonda hajitambui, kuna uzi gani humu atuonyeshe kuwa tulimtuma akatuwakilishe kama JF Members? Ni muongo na mnafiki kwa kujipendekeza kwa mafisadi ili aambulie chochote. HATUKUMTUMA maana hakuna mjumbe ALIYEKWENDA kwenye BMK KWA kuwakilisha WANACHAMA WA JF. LIMAKONDA LIONGO!
 
Paul Makonda yupo sahihi sana nadhani wewe mleta uzi ndo hujitambui.

Vijana wenye akili timamu tunamuunga mkono Makonda kwa kauli yake ndani ya BMK!

Baba ako ndio hajitambui, unaonekana mbegu chafu wewe...
 
anikome simjui hanijui
ameniwakilisha alosema hapanaaaaaaaa
 
Huyu mwehu aliwahi kuwa m'mojawapo wa viongozi katika serikali ya vibaraka na wezi pale chuo cha ushirika.....ni mwizi,mla rushwa,mfujaji wa pesa za wanafunzi sijui amefika hapo kwenye uongozi kwa kura za nani.pumbavu zake .....kama akidhindwa kututetea pale chuo wanafunzi tuliokuwa tukizinguliwa mambo ya ada na bodi ya mikopo ataweza kututetea uraiani......pumbavu sana huyu ----.
 
wakati akiwa anaongea bungeni alikua anasema
maneno watanzania wenzangu,ndugu zangu
mimi kama mtanzania sina ndugu aliye ccm,fisadi,wala haramia kama wewe na wenzio
ukome kabisa ndugu yako ni baba ako na mama ako na mkeo...
 
wakati akiwa anaongea bungeni alikua anasema
maneno watanzania wenzangu,ndugu zangu
mimi kama mtanzania sina ndugu aliye ccm,fisadi,wala haramia kama wewe na wenzio
ukome kabisa ndugu yako ni baba ako na mama ako na mkeo...

Hata mimi sina ndugu aina ya CCM hata kidogo .
 
Back
Top Bottom